DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
cocastic umesoma shule za wamang'ati mkuu unaogopa kuharibu brand 😅🤣😂😂😂😂 iache tu, itaniweka wazi buree.
cocastic umesoma shule za wamang'ati mkuu unaogopa kuharibu brand 😅🤣😂😂😂😂 iache tu, itaniweka wazi buree.
Hongera sana.Miaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa shule za kata matokeo ya darasa la 7 yalikuwa na msisimko wa kipekee sana. Mwaka 1999 matokeo yalichelewa kutoka yakatoka mwezi wa kwanza tarehe 20. Nakumbuka tulikua kakikundi tumeenda manispaa Arusha kucheki matokeo. Kwenye lile grupu kuna mwenzetu alikuwa hajachaguliwa ikawa huzuni kweli. Wakati tumeondoka kufika usawa wa jengo la BOT yule mwenzetu akatusihi turudi tena kucheki. Ikabidi turudi. Bahati nzuri second selection alichaguliwa. Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri sana.
InaitwajeShule yangu kila mwaka inapeleka wanafunzi special na bweni, elewa kila mwaka, inawezekana isipeleke special. Ila Bweni ni lazima.
Kuanzia 2009, shule imekua ikifanya vizuri sana, mwaka wangu, wanafunzi 4 walienda Bweni, nikiwemo na mie. Ila hakukuwa wa kwenda special.
Miaka iliyofuata. Ni special na bweni. Afu ni ya serikali.
Zinakua mbili ya kabla na baada sasa sikumbuki ile ya baada ilihusu nini , kwa sbabu tulienda ofisi za kijiji za shule za secondary tulizochaguliwaa🤔Hizo form si tulikuwa tunajaza kabla yakufanya paper?
Kule Arusha familia nyingi ilikuwa ukifeli ni kwenda VETA, Tour Guide au Gereji. Wachache waliokuwa wanajiweza ndo wanaenda private schools.Hahaha , nakumbuka nilitandika baiskeli km kama 40 kujaza zile fomu za kuchaguliwa🤣
Ili ufukunyue nini? 😂😂😂Inaitwaje
Tuwapeleke ndugu zetuIli ufukunyue nini? 😂😂😂
Kuna mtu anaitwa Lamomy mbona hachangii huu uzi? Au la saba hakufika?Ili ufukunyue nini? 😂😂😂
Hahaha kumbe ulisoma arusha kama mimi🤣 kabla ya mitihani nakumbuka tuliletewa mgulani primary ya dar tushindane nao , tuliwakalisha vibaya sana😅Kule Arusha familia nyingi ilikuwa ukifeli ni kwenda VETA, Tour Guide au Gereji. Wachache waliokuwa wanajiweza ndo wanaenda private schools.
Arusha ya enzi hizo ilikuwa balaa. Ngarenaro, Naura, Meru, Uhuru, Daraja mbili na Themi zilikuwa na wababe.Hahaha kumbe ulisoma arusha kama mimi🤣 kabla ya mitihani nakumbuka tuliletewa mgulani primary ya dar tushindane nao , tuliwakalisha vibaya sana😅
Hizo mambo bado zipo?Hahaha kumbe ulisoma arusha kama mimi🤣 kabla ya mitihani nakumbuka tuliletewa mgulani primary ya dar tushindane nao , tuliwakalisha vibaya sana😅
Kipindi hiko primary English medium chache sana...Arusha ya enzi hizo ilikuwa balaa. Ngarenaro, Naura, Meru, Uhuru, Daraja mbili na Themi zilikuwa na wababe.