Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Kila la kheri kwao
Kila la kheri kwao
Tumeamrishwa kuijaza dunia. Mimi bado krismas moja nitinge 40 ila nina mdogo wangu mwenye mwaka 1 na nusu. Yaani mwanangu wa mwaka 2016 atamuita huyu baba mdogo ingawa kamzidi miaka ya kutosha.Ndo naingia aiseee 😹😹
Sasa mi uzi wa matokeo wa la saba nna mtoto nasomesha?
Nyie mnaokazana bila kutumia uzazi wa mpango ndo muanze kujitafuta January mlipe ada. Sio kujua kukazana tu!
Ila mwanaCHADEMA Lema ndo mwenye akili?Chai.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu.