cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,289
- 202,721
😂😂😂 nimesoma vidumu na mfagio.Kuna jamaa anasema huwezi kutaja, utaua brand...😃😃
Wala sina haja ya kuficha mbona.
😂😂😂 nimesoma vidumu na mfagio.Kuna jamaa anasema huwezi kutaja, utaua brand...😃😃
Gentleman jielekeze kwenye mada mahsusi iliyopo mezani na itapendeza. Right? 🐒Siku moja alitapeliwa na m'bunge wa mchongo Tlaatlaah akaichakata kwa bei ya jioni kabisa.
Ajue unyago awe mjanja sasa.
Hapana mkuu fanya utafiti kidogo.hiyo hali ya private kuonekana ni upotevu wa fedha tu,inarudi kwa kasi sana,sikuhizi watoto wanafauli kwa kishindo bila kujali yuko shule ya serikali au private
Basi sawaaMbona hata mimi nimesema, sijawahi kusoma private.
Zamani kuna shule ukisoma unaonekana umeyapatia maisha kuliko hata private , mfano ashira, lyamungo ,iboru , kisimiri ni hatari 😅Mbona hata mimi nimesema, sijawahi kusoma private.
Ni noma sana.Zamani kuna shule ukisoma unaonekana umeyapatia maisha kuliko hata private , mfano ashira lyamungo ,iboru , kisimiri ni hatari 😅
Bora zirudishe ile hadhi yake hapa katikali zilionekana kama shule za hadhi yakata kabisaNi noma sana.
Now days serikali imeanza kuzibrand Ilboru, Mzumbe, Kibaha, Msalato , Kilakala, Tabora boys and girls...
Zinafanya vizuri sana.
Wanapokea watoto waliopata A zote tu primary.
acha porojo jukwaani gentleman,Siku moja alitapeliwa na m'bunge wa mchongo Tlaatlaah akaichakata kwa bei ya jioni kabisa.
Ajue unyago awe mjanja sasa.

Kipindi hicho , unatoka la saba ukipangwa moshi tek Tanga tek ni kipanga kweli kweliYes. Magu alizifanya kuwa zakawaida
Mhm ukute ni 2010 unaita enzi🤣Eeh wametoa mapema,mpange bejet za vocation na Ada,,,
Wengine tulitangaziwa kama kesho Christmas Leo matokea wanatangaza,dadeq. Enzi za kuangalia ubaoni huko,unaenda na tochi kutafuta jina lako😁😁😁 imagine jina lako halipo🙌
🤣🤣🤣🤣🤣,we mchawiMhm ukute ni 2010 unaita enzi🤣
😅😅 hapo si juzi tu🤣🤣🤣🤣🤣,we mchawi
Miaka mingi😁😅😅 hapo si juzi tu
Hahaha naonaMiaka mingi😁
Yale hayakuwa matokeo mdau.Eeh wametoa mapema,mpange bejet za vocation na Ada,,,
Wengine tulitangaziwa kama kesho Christmas Leo matokea wanatangaza,dadeq. Enzi za kuangalia ubaoni huko,unaenda na tochi kutafuta jina lako😁😁😁 imagine jina lako halipo🙌