NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2026

Hizo mambo bado zipo?
Niliwahi kuongoza kata nzima somo la Maarifa na Wilaya ya Moshi.

Nilikuwa najua Jiography na History balaa, nilivurugikiwa tu Secondary 😀😀😀
Siku hiz hata sielewi madogo naona wapo na episode za chakorii tu😅
 
Halafu zile bifu za Secondary sasa.
Nakumbuka ile tunaingia tu form one, kulikuwa na mtiti wa shule moja jirani.

Siku hiyo vijana walikuwa wanaenda kupigana, kazi yetu sisi manjuka wajanja ilikuwa ni kukusanya mawe.

Wale rivals wetu walikuwa wamejiandaa haswa, watu walichapana vibaya mno.

Aisee hizi vita zisiwepo tena hawa watoto laini laini watafia huko.
 
Kipindi hiko primary English medium chache sana...
Hapo Themi, Baba yangu mkubwa alikuwa mwl mkuu kila akija home Marangu lazima aje na paper za number 🤣🤣🤣
Tena zilizoandikwa kwa mkono
Hahaha kuna ile jipime , unakutwa imemezwa kama orodha ya pili.
 
Halafu zile bifu za Secondary sasa.
Nakumbuka ile tunaingia tu form one, kulikuwa na mtiti wa shule moja jirani.

Siku hiyo vijana walikuwa wanaenda kupigana, kazi yetu sisi manjuka wajanja ilikuwa ni kukusanya mawe.

Wale rivals wetu walikuwa wamejiandaa haswa, watu walichapana vibaya mno.

Aisee hizi vita zisiwepo tena hawa watoto laini laini watafia huko.
Hahaha sema kipindi hicho darasa nzima nilikua ni mdogo , hivyo kwenye mabifu nilikua nakula kona😅

Halafu shule nzima nilikuwa VIP pekee yangu ndio nilikua na sweta la vile vidude vya duara🤣( tozi)
 
Miaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa shule za kata matokeo ya darasa la 7 yalikuwa na msisimko wa kipekee sana. Mwaka 1999 matokeo yalichelewa kutoka yakatoka mwezi wa kwanza tarehe 20. Nakumbuka tulikua kakikundi tumeenda manispaa Arusha kucheki matokeo. Kwenye lile grupu kuna mwenzetu alikuwa hajachaguliwa ikawa huzuni kweli. Wakati tumeondoka kufika usawa wa jengo la BOT yule mwenzetu akatusihi turudi tena kucheki. Ikabidi turudi. Bahati nzuri second selection alichaguliwa. Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri sana.
mamasamia utabakwa wewe.. acha kujisifia
 
Hahaha sema kipindi hicho darasa nzima nilikua ni mdogo , hivyo kwenye mabifu nilikua nakula kona😅

Halafu shule nzima nilikuwa VIP pekee yangu ndio nilikua na sweta la vile vidude vya duara🤣( tozi)
Nimecheka sana 😃 😃
 
Kipindi hiko primary English medium chache sana...
Hapo Themi, Baba yangu mkubwa alikuwa mwl mkuu kila akija home Marangu lazima aje na paper za number 🤣🤣🤣
Tena zilizoandikwa kwa mkono
Chache sana. Arusha school na Green Acres ndo zilikuwa zinavuma zaidi. Baadae ikaja Naasha
 
Acha
Miaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa shule za kata matokeo ya darasa la 7 yalikuwa na msisimko wa kipekee sana. Mwaka 1999 matokeo yalichelewa kutoka yakatoka mwezi wa kwanza tarehe 20. Nakumbuka tulikua kakikundi tumeenda manispaa Arusha kucheki matokeo. Kwenye lile grupu kuna mwenzetu alikuwa hajachaguliwa ikawa huzuni kweli. Wakati tumeondoka kufika usawa wa jengo la BOT yule mwenzetu akatusihi turudi tena kucheki. Ikabidi turudi. Bahati nzuri second selection alichaguliwa. Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri sana.
Hongera sana.
 
Ndio upime sasa, na nimesoma Marangu huko, madawati, Walimu, madarasa ya kutosha ila kupata shule ndio tabu...

By those days tulikuwa tunawaona wanaosoma Shule za Private Secondary kama vilaza tu 🤣🤣🤣
hiyo hali ya private kuonekana ni upotevu wa fedha tu,inarudi kwa kasi sana,sikuhizi watoto wanafauli kwa kishindo bila kujali yuko shule ya serikali au private
 
zamani matokeo ilikua mpaka siku mbili kabla ya xmas,kumbe kweli tumeendelea,,halafu enzi hizo wilaya nzima wanafaulu watu 5 tu,wengine mnabaki nyumbani kulima🤗
Hakukuwa na matokeo bana, walikuwa wanatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza tu.
Matokeo ulikuwa unayaonea wapi?
 
Back
Top Bottom