NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2026

Hongera sana.

Hata shule wanayosoma vijana wangu wamepiga vizuri sana.
Shule yangu kila mwaka inapeleka wanafunzi special na bweni, elewa kila mwaka, inawezekana isipeleke special. Ila Bweni ni lazima.

Kuanzia 2009, shule imekua ikifanya vizuri sana, mwaka wangu, wanafunzi 4 walienda Bweni, nikiwemo na mie. Ila hakukuwa wa kwenda special.

Miaka iliyofuata. Ni special na bweni. Afu ni ya serikali.
 
Haina jina?
Then it might be a public school...
Hiyo kupeleka Bweni si ni matokeo tu?
 
Miaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa shule za kata matokeo ya darasa la 7 yalikuwa na msisimko wa kipekee sana. Mwaka 1999 matokeo yalichelewa kutoka yakatoka mwezi wa kwanza tarehe 20. Nakumbuka tulikua kakikundi tumeenda manispaa Arusha kucheki matokeo. Kwenye lile grupu kuna mwenzetu alikuwa hajachaguliwa ikawa huzuni kweli. Wakati tumeondoka kufika usawa wa jengo la BOT yule mwenzetu akatusihi turudi tena kucheki. Ikabidi turudi. Bahati nzuri second selection alichaguliwa. Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri sana.
 
Hahaha , nakumbuka nilitandika baiskeli km kama 40 kujaza zile fomu za kuchaguliwa🤣
 
Back
Top Bottom