NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2026

NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2026

Yale hayakuwa matokeo mdau.
Walikuwa wanatoa majina ya waliochaguliwa kujinga na kidato cha kwanza.
Hakukuwa na matokeo ya darasa la saba miaka hiyo..
Hivi siku hizi wanatoa na nafasi za kimikoa kwenye ufaulu?
 
Shule yangu kila mwaka inapeleka wanafunzi special na bweni, elewa kila mwaka, inawezekana isipeleke special. Ila Bweni ni lazima.

Kuanzia 2009, shule imekua ikifanya vizuri sana, mwaka wangu, wanafunzi 4 walienda Bweni, nikiwemo na mie. Ila hakukuwa wa kwenda special.

Miaka iliyofuata. Ni special na bweni. Afu ni ya serikali.
Sasa hilo nalo la kujisifia?

Baba yako hawezi kukulipia bweni mpaka utegemee serikali?
 
Miaka ya 90 hadi 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa shule za kata matokeo ya darasa la 7 yalikuwa na msisimko wa kipekee sana. Mwaka 1999 matokeo yalichelewa kutoka yakatoka mwezi wa kwanza tarehe 20. Nakumbuka tulikua kakikundi tumeenda manispaa Arusha kucheki matokeo. Kwenye lile grupu kuna mwenzetu alikuwa hajachaguliwa ikawa huzuni kweli. Wakati tumeondoka kufika usawa wa jengo la BOT yule mwenzetu akatusihi turudi tena kucheki. Ikabidi turudi. Bahati nzuri second selection alichaguliwa. Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri sana.
Chai.

Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu.
 
Kuna mtu anaitwa Lamomy mbona hachangii huu uzi? Au la saba hakufika?
Ndo naingia aiseee 😹😹
Sasa mi uzi wa matokeo wa la saba nna mtoto nasomesha?

Nyie mnaokazana bila kutumia uzazi wa mpango ndo muanze kujitafuta January mlipe ada. Sio kujua kukazana tu!
 
Hakuna cha privacy wala nini, waliweka kuficha waislamu waliokuwa wanahesabu majina yapi ni mengi kwenye ufaulu
Hapana bana hujui sasa hivi nchi ina sera ya ulinzi wa taarifa binafsi?
Hukuona wanasiasa waliofeli zamani walivyokuwa wanazodolewa?
 
Back
Top Bottom