Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

Kwahasira kibri chuki na udikteta aliouonyesha juzi namkumbusha kwamba
"Cheo ni dhamana na hatadumu nacho"awaulize Nape na Muhongo pia Kitwanga
Tena Nape ndani ya chama hiki pendwa nikama mzawa na Ndugai ni kama mpitanjia
Namshauri amuombe mungu ampunguzie hasira na ulevi wa madaraka
 
Leo Ndugai kawa adui?mbona mwanzo mlisema ni mtu safi sana ila Tulia ndie katili yani ninyi akili zenu tope, mna vichwa vya maboga
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] nilikuwa nimenuna imebidi tu nismile
 
Leo Ndugai kawa adui?mbona mwanzo mlisema ni mtu safi sana ila Tulia ndie katili yani ninyi akili zenu tope, mna vichwa vya maboga
Commencement ya WEHU kwenye siasa huanza siku ukifanya vitendo vya kiundawazimu(WEHU) hata huyo BWANA aliqualify kuwa mwehu siku ile alipodhihilisha PASIPO SHAKA kuwa yeye ni mwehu.
 
Commencement ya WEHU kwenye siasa huanza siku ukifanya vitendo vya kiundawazimu(WEHU) hata huyo BWANA aliqualify kuwa mwehu siku ile alipodhihilisha PASIPO SHAKA kuwa yeye ni mwehu.
Leo unamuita mwehu, akitangaza kuja chadema utamuita Mungu, ngedere wewe
 
Tena asusiwe kama tulivyo Susie filamu za kibongo.
 
Andiko Hili liliwekwa baada ya darubini kali kumchunguza Ndugai na nadhani mpaka muda kila mtu kishakuliana na wazo hili .
 
Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
Hebu fafanua ufisadi wowote uliowahi kukumbatiwa na Chadema ili na sisi wengine tukuelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…