De Capri Don
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 481
- 949
Ndoa Bora ni pale Mwanamke ni Kipofu na Mwanaume ni Kiziwi.
Mi miaka miwili tu nikakimbia 🤣🤣🤣🤣😃😃Ukijifanya wewe ndo unaakili logic za kutosha Yani itakushinda mapema sana😃😃😃
Uliwahi sana kukimbia.Mi miaka miwili tu nikakimbia 🤣🤣🤣🤣
Kisa na mkasa?kuna wakati hata hutamani kurudi ghetto, japo upo mwenyewe...
🤣🤣🤣🤣 Kuchinjwa mjomba🤣🤣Uliwahi sana kukimbia.
Kama ni pishi la mchele tunasema umekimbia wakati mchele umeenda kununuliwa😂
🤖UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA UWE NA ROHO NGUMU!
Hv unaongea nini kumbe Kula Ugal & Dagaa Mwaka mzima ni Mtihani.Tukikupa mtihani kuanzia January hadi December ule ugali na dagaa utaweza?
Muhimu tuzidi kuombeana heri na kuchukuliana, hakuna aliye Mkamilifu
Hahha ulienda na akilizako ndo sababuMi miaka miwili tu nikakimbia 🤣🤣🤣🤣
Mambo ya kuumia moyo kiboya sitaki aiseeHahha ulienda na akilizako ndo sababu
Yani inabidi ujifanuye fyuzi mbili tatu hamna mtaishi sana 😃😃😃
Acha tupasuke vichwa kabisa.wajinga wameingia mtego wa ndoa, werevu tumestuka
na mtapigwa sana huko,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍♥️Hv unaongea nini kumbe Kula Ugal & Dagaa Mwaka mzima ni Mtihani.
Kwetu Sisi wengine hayo ni Maisha yetu ya Kila Siku
Binafsi ninaishi kwenye ndoa yenye raha sana,mke wangu hana maudhi asante sana Mungu.Nimeanza kuishi naye tangu sina hata mia na hakuwahi kunionyesha dharau.Usioe ukiwa na hela tafuta mke ukiwa hauna kitu utanikumbuka.
Kwa wachungaji wanaochakata wake zetu?

suluhisho ni Yesu, huyo mchungaji naye ana matatizo yake, wewe mwamini Yesu na umpe maisha yako!Hakuna kinachodumu watu hubadilika kulingana na response ya mtendewa ukiionyesha kilakitu kinakuumiza wazi ndo wanapigilia misumariMambo ya kuumia moyo kiboya sitaki aisee
Sikia Mr Jobless Ngoja upate AJIRA SASA tuone kama hautatamani kula maini walau siku moja moja 🤪Hv unaongea nini kumbe Kula Ugal & Dagaa Mwaka mzima ni Mtihani.
Kwetu Sisi wengine hayo ni Maisha yetu ya Kila Siku
Nimwamimi vipi yesu wakati hata yeye alikuwa hajaoa.suluhisho ni Yesu, huyo mchungaji naye ana matatizo yake, wewe mwamini Yesu na umpe maisha yako!
Nina watoto Wawili cute....ngoja niwapambanie.....siyo wote tumeumbiwa ndoa🙏Hakuna kinachodumu watu hubadilika kulingana na response ya mtendewa ukiionyesha kilakitu kinakuumiza wazi ndo wanapigilia misumari
Kabisa ni kupambana tu kulea watoto na muda ukifika utapata wako inshallah 🙏Nina watoto Wawili cute....ngoja niwapambanie.....siyo wote tumeumbiwa ndoa🙏
Roho ngumu tayari ninayo, bado kujipanga na kumpata kitunguu wangu. Tuwe tunalizana kwa kupokezana





