Ndoa zina matukio jamani

Ndoa zina matukio jamani

Maisha hayataki userious sana 😂
Sometimes mtu anakudanganya na unaona kabisa ila unafunika kombe mwanaharamu apite 😂😂
Na wanaharamu watakuwa wengi sana kwa kufunika...siku wakijaa hao utalipuka Sana ...maajabu sasa unageuziwa kibao kwamba "kumbe mwenzangu Una Mambo moyoni husemi, sipendi kama unaumia si uniambie Mimi ni binadamu nakosea" kumbe anajua afanyalo 😂😂😂...huu ndo utapeli wa hisia, bwana dronedrake kaliona hili
 
Na wanaharamu watakuwa wengine kwa kufunika...siku wakijaa hao utalipuka Sana ...maajabu sasa unageuziwa kibao kwamba "kumbe mwenzangu Una Mambo moyoni husemi, sipendi kama unaumia si uniambie Mimi ni binadamu nakosea" kumbe anajua afanyalo 😂😂😂...huu ndo utapeli wa hisia, bwana dronedrake kaliona hili
Umeona eeh wakat anadanganya alikuwa anajua kabisa aliongea uongo 😂😂😂alafu badae anataka amani
 
Maisha ya kuwa mwenyewe ni mabaya, yamejaa upweke na usipoangalia unapata sonona. Ona sasa unajifungia mwenyewe ghetto for a week, si ugonjwa tayari huo?
Unajua innovation zote duniania almost zimeanzia geto or garage ambako mtu anafanya different testing and ideas sio kukaa geto unaangalia juakali utakua mwehu,great thinkers watanielewa.
 
Maisha ya kuwa mwenyewe ni mabaya, yamejaa upweke na usipoangalia unapata sonona. Ona sasa unajifungia mwenyewe ghetto for a week, si ugonjwa tayari huo?
Ugonjwa how?? Mgonjwa huyo anaekaa week nzima bila kutoka nje.

Hapa niko nafanya re arrangment na usafi ndani huku nasikiliza music. Nikimaliza naagiza boda chips, nakula, nalala.
Nikiamka naenda kuzurula na wana 🍷

Maisha simple yan.. kuna mshikaji anaishi na pisi yake 😂 kuna siku wamekorofishana, mshikaji ni mwanangu sana. Akanambia tutoke… imefika night namwambia kila mtu akalale, anasema ye harudi sahiyo, hataki kelele na pisi yake.

Poleni kwa wote wanaoishi na vitunguu
 
U see it depends how you control your life as long as you’re happy with what you do that’s life hata mm ikichoka akili naenda mazoezini ya mpira or Jim or hata kwenda kusikiliza music or beach as long as your happy that’ll
 
Maisha ya kuwa mwenyewe ni mabaya, yamejaa upweke na usipoangalia unapata sonona. Ona sasa unajifungia mwenyewe ghetto for a week, si ugonjwa tayari huo?
Unataka kila mtu aangalie hili swala kwa mtazamo wako!?, Sio kila mtu anakuwa mpweke ghetto. Ukiwa mwenyewe unaweza kuamua nini kiku entertain, iwe TV, usingizi, kuchat hata kumuita mpenzi aje muwe wote baadae aondoke. Ila ukiishi na kiumbe kingine huwezi kuamua nini kikupe furaha, ukiangalia TV anabadili chanel, ukinunua tv nyingine ukaweka chumbani gharama na lawama, ukiamua ulale upumzike hata masaa mawili kila mara anafungua mlango anapitapita tu Ili mradi tu. Ukiwa mkimya tatizo,ukiongea ongea ni tatizo. Ndo maana watu wengine tunathamini sana kuishi peke yetu, hatutaki kelele na kupangiana maisha. Na wewe usiyependa kuishi mwenyewe upo sahihi, ila usilazimishe kila mtu afikirie kama wewe. Mlioamua kuishi na wanawake ishi nao, na tulioamua kuishi wenyewe mtuache. Tusipangiane namna ya kuishi. Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Ugonjwa how?? Mgonjwa huyo anaekaa week nzima bila kutoka nje.

Hapa niko nafanya re arrangment na usafi ndani huku nasikiliza music. Nikimaliza naagiza boda chips, nakula, nalala.
Nikiamka naenda kuzurula na wana 🍷

Maisha simple yan.. kuna mshikaji anaishi na pisi yake 😂 kuna siku wamekorofishana, mshikaji ni mwanangu sana. Akanambia tutoke… imefika night namwambia kila mtu akalale, anasema ye harudi sahiyo, hataki kelele na pisi yake.

Poleni kwa wote wanaoishi na vitunguu
Vitunguu ukimaanisha nini?
Mnaoishi single mpo na upweke mwingi sana, sema huwa hamtaki kuwa wazi.

Hata hivyo huyo jamaa yako anapitia changamoto ya kawaida kwenye maisha, sema huenda ameingia kwa ndoa kabla hajawa tayari, pamoja na changamoto zote za ndoa, hakuna kitu kitamu kama ndoa.
 
Ugonjwa how?? Mgonjwa huyo anaekaa week nzima bila kutoka nje.

Hapa niko nafanya re arrangment na usafi ndani huku nasikiliza music. Nikimaliza naagiza boda chips, nakula, nalala.
Nikiamka naenda kuzurula na wana 🍷

Maisha simple yan.. kuna mshikaji anaishi na pisi yake 😂 kuna siku wamekorofishana, mshikaji ni mwanangu sana. Akanambia tutoke… imefika night namwambia kila mtu akalale, anasema ye harudi sahiyo, hataki kelele na pisi yake.

Poleni kwa wote wanaoishi na vitunguu
Ila Depal wewe unaonekana mwanamke mmoja mwamba sana 😂😂...nilivyosoma Ile comment unasafiri usiku na BM 😂😂
 
Haswa za kizazi hiki.

Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?

Wamechafukwa hawatamani kuonana tena, ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake? Wanapigana wengine wanauana.

Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk

Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia. Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.

Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.

UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!
Huu uzi bila kisa chochote hamna kipya,kwahyo tunaomba uelezee kilichokukuta tukusaidie
 
Back
Top Bottom