Ndoa za wasomi

Ndoa za wasomi

Wacha wivu, learn from the best, mwenzio natumia mbinu mbili matata sana .
Natumia maneno machache tu kutongoza_ nauliza kwa sauti ya Polisi, umeorewa au unapiga piga umaraya.
Na Nikitaka njunji naamrisha tu, rara nikurenge

Hapo penye mstari sina shida napo.

Ngoja nikajaribu hizo mbinu nione maana kismati nacho kinahusika
 
Mwanamke mwenye maadili halafu Msomi huyu Hasumbui maana maadili.huwa yamemtawala

Mwanamke asie na Maadili halafu Msomi huyu ndie balaa yaani Sawa na kipofu Kumpa macho hapa lazima Usome Namba

kiukweli ndoa za Wasomi wanawake zinasumbua saaaaaana maana wanahisi kuelimika kwa kila kitu.
 
Hiyo ni dhana iliyo jengeka tuu kama ilivyo kwenye makabila...

Kwa mie tabia ya mtu haiangalii usomi, kabila, dini, utajiri au umaskini..
Wapo walioolewa ni wasomi wametulia na wengine hawajatulia, na ambao sio wasomi vile vile wapo waliotulia na wengine ndo vile tena..

Kama muoaji kigezo na usomi Sidhani kama ndo kinampa mtu mke mwema au la... Yapo mengi saana ya kukufanya uwe na umpendae
ni ukweli usio pingika kuwa ukioa mtu alo soma you are likely to get difficulties kuliko ambaye hajasoma, nadhan wanawae walio soma huwa wanapoteza ile sense ya kuwa wake au mama kwenye familia.
sema zipo kesi chachr za walo fanikiwa so si jambo la moja kwa moja kujumlisha
 
Wachache wanaishi maisha ya furaha,asilimia kubwa ni shida,hasa kama mama atakuwa anapata mshahara mkubwa kuliko baba.
 
ni ukweli usio pingika kuwa ukioa mtu alo soma you are likely to get difficulties kuliko ambaye hajasoma, nadhan wanawae walio soma huwa wanapoteza ike sense ya kuwa wake au mama kwenye familia.
sema zipo kesi chahce za walo fanikiwa so si jambo la moja kwa moja kujumlisha
Rekebisha mwandiko ueleweke
 
Na ieleweke kuwa hamna ndoa isiyo na changamoto, iwe ya msomi au la..
 
Ndoa yoyote Ile inaweza vunjika haijalishi ni ya wasomi au sio wasomi.... Kinachofanya ndoa idumu ni kila mmoja kujua mipaka yake na wajibu kwenye ndoa..... swala la kuchukuliana pia ni la muhimu tatizo letu wengi tunapenda mwenza wako awe perfect kwa asilimia zote kitu ambacho hakiwezekani
 
Na ieleweke kuwa hamna ndoa isiyo na changamoto, iwe ya msomi au la..
Ni kweli ila ndoa nyingi za wasomi asilimia kubwa zinahitaji uvumilivu na moyo kama wa Ayubu.Kama hayo hukujaliwa weka mbali na watoto
 
Mimi msomi ila nimejiridhisha 69% ya ndoa zenye matatizo makubwa ni ndoa za wasomi
 
Inasemekana wengi wao si wasikivu wala utii kwa mme hamna kutokana na emancipation through education

Thing is, elimu inatakiwa kukukomboa kifikra. Ndo maana kwa mtu anayejielewa halafu akapata elimu, they will be even better kama mama ama mke sababu wata play their parts accordingly. Kama ni kazini atakuwa 100%, akarudi nyumbani kama mke atakuwa 100% na kama ni mama atakuwa 100% kwa watoto wake.

And this applies to men too. 🙂
 
Wacha wivu, learn from the best, mwenzio natumia mbinu mbili matata sana .
Natumia maneno machache tu kutongoza_ nauliza kwa sauti ya Polisi, umeorewa au unapiga piga umaraya.
Na Nikitaka njunji naamrisha tu, rara nikurenge
Bujibuji punguza hizo 'R' ni nyingi mno bro. Umeorewa =Umeolewa, Umaraya-umalaya, Rara =lala, Nikurenge=Nikulenge. Usipo zibadilisha faiza fox atakuja kukutoa kasoro sababu yeye ndiye mkufunzi mkuu wa Kiswahili wa JF🙂
 
Back
Top Bottom