Ndoa za wasomi

Ndoa za wasomi

Mapenzi hayana usomi wala umbumbumbu... Mapenzi huanzia moyoni... Mapenzi ni maelewano, kusikilizana na kila mtu kutambua umuhimu wa mwenzake na nafasi gani anashikilia...

Unaweza oa msomi mkadumu au mkazinguana...

Unaweza oa si msomi.. Mkadumu au mkazinguana...

Cc: mahondaw
 
Wanaume wanaogopa wanawake wasomi kwasababu wanajielewa na hawafumbii macho unyanyasaji wa kijinsia na pia hawaendekezi mambo ya mfumo dume ambao umetawa jamii zetu.
Wanajua kwamba mwanamke msomi atahitaji kuajiriwa au kujiajiri hivyo atakua na uhuru wa kifedha na maringo juu... Wanaume wengine wanapenda kusujudiwa, wakunyanyase tu pale unapoomba hela ya matumizi nyumbani wakunyime kisa mlikwaruzana jana usiku.
Mwanaume anaeogopa mwanamke msomi ana lake jambo... Either ana mfumo dume au mwonevu au hajiamini kusimama katika nafasi yake kama mwanaume kwa kutishiwa na ufahamu na elimu ya mwanamke.
Hakuna na hayupo narudia hayupo yaani 100% ya wanamme wote tunataka kuwa wenye sauti ktk familia including wake zetu na hii ni kutokana na kile Mungu alichokiweka ndani yetu ambacho anajua mwenyewe,tunatekeleza tulichoagizwa na sio mfumo dume, mwanamme always ni kiongozi kwa mke wake so kama elimu inawafanya kutotii tutazidi kuwaona wa kazi gani hamna namna nyingine!
 
Wasomi wengi ni wajuaji mkuu...tena mkiachana ujiandae kugawana PASU KWA PASU....
 
Wanaume wanaogopa wanawake wasomi kwasababu wanajielewa na hawafumbii macho unyanyasaji wa kijinsia na pia hawaendekezi mambo ya mfumo dume ambao umetawa jamii zetu.
Wanajua kwamba mwanamke msomi atahitaji kuajiriwa au kujiajiri hivyo atakua na uhuru wa kifedha na maringo juu... Wanaume wengine wanapenda kusujudiwa, wakunyanyase tu pale unapoomba hela ya matumizi nyumbani wakunyime kisa mlikwaruzana jana usiku.
Mwanaume anaeogopa mwanamke msomi ana lake jambo... Either ana mfumo dume au mwonevu au hajiamini kusimama katika nafasi yake kama mwanaume kwa kutishiwa na ufahamu na elimu ya mwanamke.
kwa maneno kama haya unahitaji kukaa na mwanume flan hivi boya boya ndio ata kufaa
tena na hizo idea zako za uswawa wa kijinsia teh teh. ndoa ya kiafrika itakushinda
 
THANK YOU!

Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
 
kwa maneno kama haya unahitaji kukaa na mwanume flan hivi boya boya ndio ata kufaa
tena na hizo idea zako za uswawa wa kijinsia teh teh. ndoa ya kiafrika itakishinda
Soma vizuri unielewe! Aliezungumzia usawa wa kijinsia nani? Am for equity not equality... Sintaruhusu mwanaume aninyanyase kisa tu nimezaliwa mwanamke! Ntacheza part yangu kama mwanamke, mke na mama... Mambo ya kunyanyasana siyataki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo linakuja Unapokuwa na mawazo hasi kuhusu wasomi..
Lazima kila atakalofanya ulione tofauti
Yatakuwa chanya hasa kama utaburuzwa na ukubali,hakuna majadiliano,na ipendeze umzidi kipato mbali tu...Fanya utafiti kidogo,kati ya familia 10unazo zifahamu ni ngapi ndoa zao zinapumua bila mashine na ngapi ziko kwenye mashine ...
 
Kweli hata sio katika ndoa tu hata mapenzi kabla ya ndoa.. Videm vya ki bachela degree au dip huwa na maringo kama bata mzinga nyambaaaf..

Kakija kujua wewe una masters na life zuri ndo kanajishauashaua kanajipendekeza pendekeza nyambaffff..
 
Soma vizuri unielewe! Aliezungumzia usawa wa kijinsia nani? Am for equity not equality... Sintaruhusu mwanaume aninyanyase kisa tu nimezaliwa mwanamke! Ntacheza part yangu kama mwanamke, mke na mama... Mambo ya kunyanyasana siyataki
duuh!! sasa una ikana article yako mwenyewe!! nimesoma mara 3 ndio maana sija kujib papo kwa papo rudia uone ulicho kiandika.

na hivo viterm vya ki sosholojia tu equity, equlity na makorokocho mengine mzizi wake ni ule ule na huwa havi work uki vileta kwenye ndoa.
ukiinga kwenye ndoa na attude hiyo, inatakiwa upate mtu flan ambaye kama haelewi elewi mambo hivi hapo mtadumu.
 
duuh!! sasa una ikana article yako mwenyewe!! nimesoma mara 3 ndio maana sija kujib papo kwa papo rudia uone ulicho kiandika.

na hivo viterm vya ki sosholojia tu equity, equlity na makorokocho mengine mzizi wake ni ule ule na huwa havi work uki viketa kwenye ndoa.
ukiinga kwenye ndoa na attude hiyo, inatakiwa upate mtu flan ambaye kama haelewi elewi mambo hivi hapo mtadumu.
Siikani post yangu... Naelewa nilichokiandika ndo maana nikakataa unachosema!!! Nafahamu kua mwanamke na mwanaume hawawezi kua na usawa wanaosema watu. Sema wanaume wanaogopa wadada wasomi sababu ni ngumu kuwapelekesha na kuwaonea
 
Hiyo ni dhana iliyo jengeka tuu kama ilivyo kwenye makabila...

Kwa mie tabia ya mtu haiangalii usomi, kabila, dini, utajiri au umaskini..
Wapo walioolewa ni wasomi wametulia na wengine hawajatulia, na ambao sio wasomi vile vile wapo waliotulia na wengine ndo vile tena..

Kama muoaji kigezo na usomi Sidhani kama ndo kinampa mtu mke mwema au la... Yapo mengi saana ya kukufanya uwe na umpendae
kidogo napingana na wewe,, natarudi
 
Siikani post yangu... Naelewa nilichokiandika ndo maana nikakataa unachosema!!! Nafahamu kua mwanamke na mwanaume hawawezi kua na usawa wanaosema watu. Sema wanaume wanaogopa wadada wasomi sababu ni ngumu kuwapelekesha na kuwaonea
Hebu toa mfano wa mwanamke kupelekeshwa
 
Back
Top Bottom