sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Rudisha moyo nyuma lol.ila huyu mtoto ni sweety sema ndio hajatulia
Rudisha moyo nyuma lol.ila huyu mtoto ni sweety sema ndio hajatulia
We mbona Vin Diesel alipomwagwa wewe ukamrudia sweetlady ?acha kula makombo wewe dogo, wenzio tunatema wewe unameza
Hahahaaaa mbona nimeizoea sana aisee huwa naiona unapokuwa umeenda porinicheki unavyokenua utadhani umeshaiona V yake
ukiwa na kiburi nitakunyang'anya na lexus yangu
Kipipi ana nafasi yake ila kwa sasa huyu sweetlady anahitaji faraja na wa kumpa ni mimi tu hakuna mwinginesweetlady achana na sharobaro Erickb52 yuko na Kipipi muda huu kwenye mapango ya amboni twende zetu kwenye mazoezi ya kwaya tuna wimbo mpya leo
Vin Diesel usiache mbachao kwa msala upitao
Mungi na wewe unaungaunga na Lily Flower mwambie Blaki Womani akusaidie kubembeleza
Ataacha kote ila sio kwa mimi kijana wakeNishakuzoea.....endelea kuacha majeruhi..
sweetlady achana na sharobaro Erickb52 yuko na Kipipi muda huu kwenye mapango ya amboni twende zetu kwenye mazoezi ya kwaya tuna wimbo mpya leo
Vin Diesel usiache mbachao kwa msala upitao
Mungi na wewe unaungaunga na Lily Flower mwambie Blaki Womani akusaidie kubembeleza
Hahahaha! Nimpende nani? Lol. Uwahi mazoezini, jana hukutokea mwalimu aligomba sanasweetlady achana na sharobaro Erickb52 yuko na Kipipi muda huu kwenye mapango ya amboni twende zetu kwenye mazoezi ya kwaya tuna wimbo mpya leo
Vin Diesel usiache mbachao kwa msala upitao
Mungi na wewe unaungaunga na Lily Flower mwambie Blaki Womani akusaidie kubembeleza
nimeshamwachia we nenda nae kwenye kwaya
Namshangaa! Eti makombo ukitaka kula wewe khaaa. Akwende zake huko