Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Baba V njoo usuluhishe huku

Nilishasema huwa nashughulikia kusuluhisha mgogoro wa wanandoa wakileta malalamiko kwangu lakini suala la kuvunja ndoa ni la wanandoa wenyewe
 
Last edited by a moderator:
aah shem, msamehe bana. watu wamepika majungu hadi unamuacha mai waif wako!!!
 
Mi sifurahii ndoa kuvunjika bana
nitonye rudisha moyo nyuma bana bado sweetlady anakupenda na amekuwa akisema hayo tukiwa kwenye mazoezi
Baba V na Mungi iokoeni ndoa ya nitonye bana msishangikie kuvunjika kwake
Filipo njoo huku uokoe jahazi aise
 
Last edited by a moderator:
sweetlady uko wapi aise
Kajibu tuhuma halafu ukumbuke mazoezi yetu ya kwaya jioni ya leo
Tunapanda mlimani kabisa
nitonye anatishia nyau huku eti amekuacha na yale madini yake usimrudishie kabisa tukale raha mbali kabisa mbali na akina Erickb52 na Mungi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom