Ila hujanipa nafasi ya kujitetea, umeishia kuamini maneno ya wapita njia na wasiopenda kuiona ndoa yetu inadumu! Nasikitika manake wewe pia una makosa mangapi? Mbona mie nimekuvumilia na kukupa nafasi mara kadhaa? Poa mie naheshimu maamuzi yako japo inaniuma!
Nimekuja na nimekubaliana na maamuzi yake , una jingine?
Sikuamini siku sweetlady ananiacha na kwenda kwa nitonye....
Roho iliniuma sana ila kina Bishanga.. Blaki Womani....erickb52... Filipo...na Mr Rocky walihakikisha unaniacha na kuungana na nitonye.
Nilitoa maangalizo sana juu ya sweetlady alivyo
Ona sasa nitonye nae yamemkuta
Mie kwa sasa nimetulia tulii na wife material wangu.....
Ugua pole nitonye....
Mwambie huyo!
Tafadhari hapa ARABELA kaingia..aje.
Copy kwa Vin DieselRekebisha kiswahili. Mimi nilikuacha wewe na sio wewe uliniacha mimi. Acha kujipaiza basi.
Na wataendelea kutupwa kule hadi nibaki mwenyewe nikimiliki ladies km mswatimkuu Vin Diesel mwanaume asiyetegemeza familia tupa kule
mkuu Vin Diesel mwanaume asiyetegemeza familia tupa kule
Siku hizi hayo hayapoafu na we ulishindwa nini kumlisha yale makitu ili awe ka msukule bana?