Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
I'm so sor sweetylady naamini itakuwa vigumu kunielewa ila ndivyo ilivyo. Mapenzi yetu yalikuwa matamu na mda mwingine machungu ila niliweza kuvumilia. Visa vingi umenifanyia hivyo kunifanya niishi kama mume mjinga.

Tabia yako ya kulala nje mimi imenishinda
Kuwashobokea masharobaro kama akina Mungi na wenzie sikupenda hiyo tabia

Now you are free to go mtoto tutampeleka kwa babu yao watu8
cc: Baba V. Bishanga. Mr. Rocky.
 
Last edited by a moderator:

Wacha maneno yako nitonye! we unadhani sweetlady hana taarifa kuwa unajigongagonga kwa Arabela?
We huna ubavu wa kumwacha sweetlady, bali sweetlady ndo mwenye uwezo wa kukupiga kibuti
 
Last edited by a moderator:
Sana sana ni R.I.P

raha ya milele uwape,na mwanga wa milele uwaangazie ,wapumzike kwa amani
 
Huwezi kufanya maamuzi tunajua sweetlady amekulisha kitu imenata kwenye kichwa huwezi kutoka wewe!

Hajalisha kitu coz nimechanjwa mimi hakuna cha kunidhuru mie
 
Last edited by a moderator:
Hajalisha kitu coz nimechanjwa mimi hakuna cha kunidhuru mie

Subiri aje hapa kama haujawa mdogo kama piriton!
Mi na Mr Rocky tumelishwa kitu na sweetlady tena mara moja afu tumeshindwa kutoka kabisa, sembuse wewe!
 
Last edited by a moderator:
Naona umeamua kufanya maamuzi magumu. Mharibifu Mr Rocky ndo atafurahi sas
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom