Mi kama matunzo The secretary yuko na mimi tangu amwache Bishanga sina shida ya pesa za ndovu au za kwenda Paris weekendtatizo unalilia kutunzwa na nitamnyang'anya lexus yangu atakupakilia wapi
Hahahaha, mwambie ajaribu siku ingine lolDah kijana ushachelewa aisee
Tuko tunaenda zetu kula raha
Namshangaa ananiacha huku ananililia! Amelazimishwa?
Watachonga mchana eeeh na usiku watalala
Hata siku nyingine tena? Una mpango wa kumkubalia?Hahahaha, mwambie ajaribu siku ingine lol
Hahahahahaha, lol.
Teh lunch timeHahahahahaha, lol.
Teh lunch time
Mi kama matunzo The secretary yuko na mimi tangu amwache Bishanga sina shida ya pesa za ndovu au za kwenda Paris weekend
Copy kwa nitonye na Vin DieselWatachonga mchana eeeh na usiku watalala
Kama kunipendaaaaa nanipenda sana
Ni TID na wimbo wa Watasema
Wewe mbona hujaenda?We nani kakufunga kamba mguuni TANGA mbona haujaenda
Mwache aende swahiba, nna hakika atanikumbuka! Njoo unifute machozi, kuachwa kunauma, usiombe yakukute!aah shem, msamehe bana. watu wamepika majungu hadi unamuacha mai waif wako!!!