Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

sweetlady achana na sharobaro Erickb52 yuko na Kipipi muda huu kwenye mapango ya amboni twende zetu kwenye mazoezi ya kwaya tuna wimbo mpya leo
Vin Diesel usiache mbachao kwa msala upitao
Mungi na wewe unaungaunga na Lily Flower mwambie Blaki Womani akusaidie kubembeleza

mda huu nipo na sweetlady tunapanga kurusha thread yetu tupo Manyara National Park, tukitola hapa tunaungana na wenzetu baadhi kutembelea vituo vya kulea watoto waishio katika mazingira magumu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom