Anafurahi kwa kuwa anakuja kwangu ambako ni kisima cha raha na furaha inayodumu daima!
Come sweetlady come bby come
We mwenyewe pumba , tena za mtama!Pumba tupu hapa
Yangu macho......
Hahahahaaaa kama kawaida yake!
Nyie mshachuja ndio maana anawamwaga kila mara
Hahahaha. Ana bahati ameniwahi kidogo tuHujui nilikuwa nasubiri uigwe buti.
Na kama usingemwambia unamwacha yeye angekuacha kesho.
Pumba tupu hapa
Itakuwa bado unanipenda ndio mana yanakutoka hayo.acha kula makombo wewe dogo, wenzio tunatema wewe unameza
Hahahahaha! Mwambie apite mbali na jipu lake.Pumba za mpunga ulipepeta wapata chenga za kupikia vitumbua....
Na yatakutoka sana mwaka huu na miaka ijayo!
We bana njoo chukua, usinitishe alaaah!ukiwa na kiburi nitakunyang'anya na lexus yangu
Hahahahaha! Mwambie apite mbali na jipu lake.
HeheheheheheheeeeeeeWe mwenyewe pumba , tena za mtama!