Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

"uliposema:-
Kwa Mfano:
1. Kabla haujaolewa kuna yale mavazi ilikuwa unatupia mumeo akakutamani nayo anakuweka kichwani ukamchanganya mpaka akakuwowa! Yale mavazi sikuhizi mbona hauvai, hata mkiwa na mumeo wawili?

2. Yale mauno ulikuwa unayakata kabla hujaokoka kwa mumeo, sikuhizi mbona haumkatii unasema Mungu hapendi?

3. Yale maneno machafu yaleeee. Ulikuwa unamwambia mumeo mpaka anasimamisha mkiwa wawili chumbani, mbona sikuhizi haumuongeleshi tena? Kisa umeokoka au? Jamani mnafeli wapi wenzetu?

4. Ule utundu utundu ule wa tendo la ndoa, ulokuwa unaufanya sebuleni, kwenye gari, jikoni, bafuni, ulikuwa ukimchanganyia nao mumeo katika kukoleza penzi Lenu, mbona skuhizi hauufanyi? Shetani gani amekubadilisha?


KAMA HAYO YOTE YALIFANYIKA KABLA YA NDOA HAPO HAO WALIKUWA WAPAGANI WANAOHUDHURIA KANISANI HAWAKUWA WALOKOLE.
 
yule dada wa kilokole alikuwa na mitusi sana kwenye charting zake,60% ya charting zetu ilikuwa ni maneno ya shombo. Ameolewa,ananilalamikia amemis ile mineno ya shombo na mie
 
Naona kama unazungumzia ulokole wa zamani wewe.
Au huyo mchungaji wa kanisa lako atakuwa outdated

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie walokole wa sasa mnazama chumvini??
Mnaongea dirty talk kumfanyia mwanaume asimamishe?!
Mnafanya doggy style?!
Mnfanya chumbani Tu au mpaka na jikoni??
Naomba majibu plz
 
ahahaha imekaa poa sana....Ule ndo mchezo pekee aloutengeneza Mungu mwenyewe Kwa Mwanadamu sasa lazima Muucheze Vyema bhana Sio muda wa chakula Umevaa gauni gumu kama Unaenda kuhubiri aah bwana

Shamba Boi
Piga kelele Kwa Kaka yakeeee, weuweeee
 
Nlishawaambia walokole wapi biblia imesema usikate uno? Wapi imesema style gani itumike kudinyana? Wapi imesema denda marufuku? Msisingizie biblia bana raha ya mapenzi uyajue uyapende na uyafanye ipasavyo.
Amen Pastor WA Mlima WA Moto🔥🏃🏃🏃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom