Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Yaani nimecheka Mimi.
Hivi haya magauni ya Yesu Ni mwamba ndio yapi jamani?
SI ajabu na Mimi ninayo mengi tu ila ni vile sijui jina lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimecheka Mimi.

Yaani nimecheka Mimi.
Hivi haya magauni ya Yesu Ni mwamba ndio yapi jamani?
SI ajabu na Mimi ninayo mengi tu ila ni vile sijui jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app


sjui ni yale magauni ya marinda sielewi alikua anamaanisha nini




Yaani nimecheka Mimi.
Hivi haya magauni ya Yesu Ni mwamba ndio yapi jamani?
SI ajabu na Mimi ninayo mengi tu ila ni vile sijui jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka Jana usiku Kama kichaalabda tumuulize mkuu LIKUD ulikua magauni ya Yesu ni mwamba ndo yapi
Sent using Jamii Forums mobile app

Nimefika....
yaaani na mi niko nawaza sjui alimaanisha haya maderasjui ni yale magauni ya marinda sielewi alikua anamaanisha nini
Sent using Jamii Forums mobile app







aje atujibu mwenyeweMe nimeongelea wanandoa waliookoka sio wasioolewa au kuoaMlokole anatakiwa kuanza mautundu jikoni sijui bafuni kabla ya kiolewa?
Kwanza mkichumbiana si amtakiwi kukaribiana?
Mautundu mengi au viungo kungwi wanaume huja kukulalamikia shoga yangu?
Halafu ndoa hainaga fundi kwakweli, ni kushukuru Mungu ukimpata chaguo lako/lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dyu dyuutabinukia nini hicho mpaka mbinguni?
Oknimefurahi
Ujumbe mzuri Sana,itabidi tupunguze upendwa
Tatizo walokole muda mwingi tunakuwa rohoni(I'm joking)
Nitajitahidi kufwata huu ushauri muda wa kuingia kwenye ndoa ukifika,naamini hawatakosekana mashangazi na watu wazima wa kunifunda.
The Monk umepita huku?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haleluyah
ChangiaNimefika....
Abeeee😂😂
Hujamjua huyo kiumbe wewe aitwae money penny!!
akakuwowa!uzi tayariMimi nimeokoka, ndio mwaka wa 30 sasa nipo ndani ya Yesu, ukubali ukatae hainihusu. Lakini sicho kilichonileta hapa, kilichonileta hapa ni hii kitu inaitwaga "NDOA"
Ndoa Bwana hainaga mwenyewe, Mungu aliotoa ndoa Kwa waliookoka, wapagani na wasiookoka, huu NI ukweli na hakuna upendeleo, kama vile mvua na jua vinavyowashukia watu wote Duniani, waovu na watakatifu
Nachopenda kushauri wale ndugu zangu waliookoka tunaotarajia kwenda Mbinguni, ikija kuhusu Swala la "NDOA" bwana tumia akili sana alizokupa Mwenyezi Mungu
Kwa Mfano:
1. Kabla haujaolewa kuna yale mavazi ilikuwa unatupia mumeo akakutamani nayo anakuweka kichwani ukamchanganya mpaka akakuwowa! Yale mavazi sikuhizi mbona hauvai, hata mkiwa na mumeo wawili?
2. Yale mauno ulikuwa unayakata kabla hujaokoka kwa mumeo, sikuhizi mbona haumkatii unasema Mungu hapendi?
3. Yale maneno machafu yaleeee. Ulikuwa unamwambia mumeo mpaka anasimamisha mkiwa wawili chumbani, mbona sikuhizi haumuongeleshi tena? Kisa umeokoka au? Jamani mnafeli wapi wenzetu?
4. Ule utundu utundu ule wa tendo la ndoa, ulokuwa unaufanya sebuleni, kwenye gari, jikoni, bafuni, ulikuwa ukimchanganyia nao mumeo katika kukoleza penzi Lenu, mbona skuhizi hauufanyi? Shetani gani amekubadilisha?
Ndio Biblia umesema Ndoa na iheshimiwe na watu wote, lakini haijasema uonekane mchovu na kilaza wa Mapenzi au ukaushe our sex life katika ndoa yetu au uanze kunihubiria Kila unapoambiwa na mume umpe Haki yake pale linapokuja swala la Unyumba ndani ya ndoa.
Msimpe shetani nafasi walokole wenzangu, me kwenye swala la Unyumba na tendo la ndoa ulokole naeekaga pembeni Kwanza, staki mchezo kabisa 🏃🏃🏃🏃🏃 nipo serious🙈
Tena nahakikisha kiuno nakikata kama feni mbovu😂😂😂🙏
Au nakosea wajameni?
Nipo hapa ofisini narekodi kipindi cha YouTube cha kuhusu ndoa ya waliookoka na wasiookoka ipi inapendeza zaidi?
Mengine watu wenyewe huyakuzaNlishawaambia walokole wapi biblia imesema usikate uno? Wapi imesema style gani itumike kudinyana? Wapi imesema denda marufuku? Msisingizie biblia bana raha ya mapenzi uyajue uyapende na uyafanye ipasavyo.