Kwahiyo nyinyi walokole wa zamani ndo mliambiwa muwe mnavaa ile miwani mikubwa kama dalali wa ng'ombe..??😂Natamani ungezaliwa Miaka ya 50 au 40 ungewaona walokole WA zAmani walivyokuwa wakweli kuanzia ndani ya roho zao mpaka nje kwenye matendo
Yani hata Mungu hajui awafanyaje hawa WA sasa jamani, wamezidisha mapicha na usanii na uongo Sana,
Me Kila siku namwambiaga Yesu arudi Tu, maana imeshakuwa too much
Watu wanaacha ulokole sahivi wanarudi kwenye dini zao maana wamechoka mapicha
AminaaaHii ni habar njema...
Walokole WA zAmani walikuwa wanavaa miwani wanaitoa wap sasa?!Kwahiyo nyinyi walokole wa zamani ndo mliambiwa muwe mnavaa ile miwani mikubwa kama dalali wa ng'ombe..??😂
Me?? Utakuwa umechanganyikiwa madame hata siku moja sijawahi kutaja jina lakoKwanini umetaja jina langu sasa anti?!
Weye si mlokole wa zamani..?Walokole WA zAmani walikuwa wanavaa miwani wanaitoa wap sasa?!
Embu kuwa serious basi we mtoto, sie tupo serious wewe unatu-ektia?! Mxiuuu
Nikichanganyikiwa nitakujuzaMe?? Utakuwa umechanganyikiwa madame hata siku moja sijawahi kutaja jina lako
Jamani!
Hao walokole wasikuhiziWeye si mlokole wa zamani..?
Ile mijiwani umeisahau!
Lakini mimi naona tayariNikichanganyikiwa nitakujuza
Bado nipo sane
Asante Kwa taarifaLakini mimi naona tayari
Woyoooooooo
Piga kelele Kwa Money Penny wakeeee![]()
hapo sihusikii kabisaa 

Chizi weweWe machepele usitutukania walokole wetu mi ninae mmoja anaitwa Saint Anne anapigilia ile mishono ya yesu ni mwamba![]()





Kwahiyo nyinyi walokole wa zamani ndo mliambiwa muwe mnavaa ile miwani mikubwa kama dalali wa ng'ombe..??![]()






😜😜
Bora nianze kukutambulisha mapema wasije wezi wakakubeba!
Nina wivu haupimiki hata kwa mizani ya semi!






Ukiyaacha namimi nakuacha! Usijaribu hilo zoezi utajuta!