Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #81
WALISEMA mavazi ya ufukweni na disko yavaliwe huko sio mtaani jamaaBoresha basi tuwe tunaona full body sio sura pekee, mbna mtaani mapaja yanaachwa tu,
WALISEMA mavazi ya ufukweni na disko yavaliwe huko sio mtaani jamaaBoresha basi tuwe tunaona full body sio sura pekee, mbna mtaani mapaja yanaachwa tu,
Kuna dada ana chnl yake inaitwa Tamtam huwaga anatoa bonus tunaona hata mapaja, fanya kama yeye TCRA hawatakusumbua.WALISEMA mavazi ya ufukweni na disko yavaliwe huko sio mtaani jamaa
AiseeKuna dada ana chnl yake inaitwa Tamtam huwaga anatoa bonus tunaona hata mapaja, fanya kama yeye TCRA hawatakusumbua.
😂😂😂😂😂Aisee
Me nimeokoka naenda Mbinguni,
Labda Mungu ahairishe kuwa hatuendi Mbinguni nitaonyesha 😂😂😂
Me nasema hivi tendo la ndoa labakia pale pale
Wether umeokoka au la
Nimekwambia Mungu ananyeshea mvua na kuchomozea jua waliookoka na wasiookoka na wapagani pia
Sasa kwanini tendo la ndoa liwe la wasiookoka Tu??
Me nimeokoka pale pale na ndoa yangu nailinda Kwa staili zote, ilimradi sizini nje ya ndoa yangu, ntabinuka mpaka Mbinguni[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Cc: Smart911 mahondaw KENZY 50thebe Extrovert
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimefurahi
Yesu ni mwamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Upo na mkeo nyumbani halafu nguo anazo vaa ni Yale magauni marefu wana yaita " Yesu ni Mwamba"
HELL NOOOOO!!!!
Uzuri wa kuwa na MKE nyumbani awe nusu uchi nusu uchi
Magauni peleka Kwa Baba ako mzazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba ugeuze haya maneno kuwa tungo ya mziki uje uimbe kanisani kwetu mlima WA Moto [emoji91][emoji91][emoji91]
Kumbe sijakosea kukuambia habari za kuimbaSiwezi huko nakutaka wewe mwenye upepo wangu wa kisulisuli!
Hilo litakuwa ni thibitisho kwa niaba ya member wote..[emoji16]
Mbona Kama unanisema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo wale wale unamtoa out anapiga zake kitenge na remba kwenye pochi ana simu na ka kitabu ka misale ya waumini
Ndo wale wale unamtoa out anapiga zake kitenge na remba kwenye pochi ana simu na ka kitabu ka misale ya waumini
We haupo hivo bhana , sema kwenye vitenge hapo ndo kwako [emoji23][emoji23]
😲
Una kipaji[emoji44]
Kivipi..??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We haupo hivo bhana , sema kwenye vitenge hapo ndo kwako [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app