Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Kwa niaba ya member wenzangu naomba niwawakilishe unipe nafasi ya kuufaidi uwo ukiuno feni mbovu,ili iwe hakikio kwa memba wenzangu kuwa wewe money penny mrembo ulierembuka,ufikapo anga za mahaba ulolokole huutupilia mbali na hutoa ile kitu nafsi na moyo hupenda😜
Ewe mwanamke nipe nafasi hiyo ili nije niuhakikishie na kuuthibitishia Uma wa jamii forum kwa haya uyaandikayo kuwa ni kweli ama watupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!....
Naomba ugeuze haya maneno kuwa tungo ya mziki uje uimbe kanisani kwetu mlima WA Moto 🔥🔥🔥
 
Ha ha ha naomba picha ya hilo gauni nione,

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200427-162558.png
Screenshot_20200427-162558.png
 
Kwa maneno yako nazidi kuthibitisha kuwa ulokole sio kumjua Mungu zaidi bali ni kuzificha dhambi na kuishi maisha ambayo kiuhalisia sio yako na ndivyo walokole wengi wanavyoishi, bora wewe unaeyaishi haya na umekubali ila wengine wanaficha sana. Najua hainihusu ila walokole wengi wanafake life sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom