Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #161
Na ya ndoa tuyatumikie asilimia 100Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe.
Na ya ndoa tuyatumikie asilimia 100Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe.
Mjinga mingine kama mipoyoyoKuna popote mleta uzi kazuia kurefer madhehebu mengine?
Chai,😀😆😀hachelewi kuanza kunena na kutishia kukushtaki kwa wazee wa kanisa kuwa unaanza kutekwa na mambo ya dunia
Bro kuna watu wameokoka wakiwa wameoana jamaaa"uliposema:-
Kwa Mfano:
1. Kabla haujaolewa kuna yale mavazi ilikuwa unatupia mumeo akakutamani nayo anakuweka kichwani ukamchanganya mpaka akakuwowa! Yale mavazi sikuhizi mbona hauvai, hata mkiwa na mumeo wawili?
2. Yale mauno ulikuwa unayakata kabla hujaokoka kwa mumeo, sikuhizi mbona haumkatii unasema Mungu hapendi?
3. Yale maneno machafu yaleeee. Ulikuwa unamwambia mumeo mpaka anasimamisha mkiwa wawili chumbani, mbona sikuhizi haumuongeleshi tena? Kisa umeokoka au? Jamani mnafeli wapi wenzetu?
4. Ule utundu utundu ule wa tendo la ndoa, ulokuwa unaufanya sebuleni, kwenye gari, jikoni, bafuni, ulikuwa ukimchanganyia nao mumeo katika kukoleza penzi Lenu, mbona skuhizi hauufanyi? Shetani gani amekubadilisha?
KAMA HAYO YOTE YALIFANYIKA KABLA YA NDOA HAPO HAO WALIKUWA WAPAGANI WANAOHUDHURIA KANISANI HAWAKUWA WALOKOLE.
Embu weka picha yake tukusaidie maneno Mzaziyule dada wa kilokole alikuwa na mitusi sana kwenye charting zake,60% ya charting zetu ilikuwa ni maneno ya shombo. Ameolewa,ananilalamikia amemis ile mineno ya shombo na mie
Hahahahahahnyanya yako
Money Penny ndio aliwatanguliaHivi kati ya mimi na miss chagga nani alitangulia kuwepo humu?
Sijakuuliza weweMoney Penny ndio aliwatangulia
haaa haaa kweli eeh,naweza kula k kimasihara?Embu weka picha yake tukusaidie maneno Mzazi
Unaweza ukaopoa K ya karantini hivi hivi unajiona
Kwanini umetaja jina langu sasa anti?!Sijakuuliza wewe
Shauriako we zubaa tuhaaa haaa kweli eeh,naweza kula k kimasihara?
Mimi nimeokoka, ndio mwaka wa 30 sasa nipo ndani ya Yesu, ukubali ukatae hainihusu. Lakini sicho kilichonileta hapa, kilichonileta hapa ni hii kitu inaitwaga "NDOA"
Ndoa Bwana hainaga mwenyewe, Mungu aliotoa ndoa Kwa waliookoka, wapagani na wasiookoka, huu NI ukweli na hakuna upendeleo, kama vile mvua na jua vinavyowashukia watu wote Duniani, waovu na watakatifu
Nachopenda kushauri wale ndugu zangu waliookoka tunaotarajia kwenda Mbinguni, ikija kuhusu Swala la "NDOA" bwana tumia akili sana alizokupa Mwenyezi Mungu
Kwa Mfano:
1. Kabla haujaolewa kuna yale mavazi ilikuwa unatupia mumeo akakutamani nayo anakuweka kichwani ukamchanganya mpaka akakuwowa! Yale mavazi sikuhizi mbona hauvai, hata mkiwa na mumeo wawili?
2. Yale mauno ulikuwa unayakata kabla hujaokoka kwa mumeo, sikuhizi mbona haumkatii unasema Mungu hapendi?
3. Yale maneno machafu yaleeee. Ulikuwa unamwambia mumeo mpaka anasimamisha mkiwa wawili chumbani, mbona sikuhizi haumuongeleshi tena? Kisa umeokoka au? Jamani mnafeli wapi wenzetu?
4. Ule utundu utundu ule wa tendo la ndoa, ulokuwa unaufanya sebuleni, kwenye gari, jikoni, bafuni, ulikuwa ukimchanganyia nao mumeo katika kukoleza penzi Lenu, mbona skuhizi hauufanyi? Shetani gani amekubadilisha?
Ndio Biblia umesema Ndoa na iheshimiwe na watu wote, lakini haijasema uonekane mchovu na kilaza wa Mapenzi au ukaushe our sex life katika ndoa yetu au uanze kunihubiria Kila unapoambiwa na mume umpe Haki yake pale linapokuja swala la Unyumba ndani ya ndoa.
Msimpe shetani nafasi walokole wenzangu, me kwenye swala la Unyumba na tendo la ndoa ulokole naeekaga pembeni Kwanza, staki mchezo kabisanipo serious
Tena nahakikisha kiuno nakikata kama feni mbovu
Au nakosea wajameni?
Nipo hapa ofisini narekodi kipindi cha YouTube cha kuhusu ndoa ya waliookoka na wasiookoka ipi inapendeza zaidi?
Umeona eee tena wengi walio makungwi hawana hata ndoa wamezikimbia, ila walokole wanashikiwa mabango ya ndoa, mwingine kauliwa huko kisa mme alimkimbia mwaka mzima karudi mke kamwambia tukacheck afya zetu kamuuaWasio walokole wamefanya hayo yote pengine na zaidi lakini bado waume zao wamechepuka..
Achana na walokole, ndoa zao hazikuhusu, Mungu wanaye mwomba ndio analinda ndoa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Mlokole nimekugusaWasio walokole wamefanya hayo yote pengine na zaidi lakini bado waume zao wamechepuka..
Achana na walokole, ndoa zao hazikuhusu, Mungu wanaye mwomba ndio analinda ndoa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu Wana shida ya kuolewa kama walokole?!Umeona eee tena wengi walio makungwi hawana hata ndoa wamezikimbia, ila walokole wanashikiwa mabango ya ndoa, mwingine kauliwa huko kisa mme alimkimbia mwaka mzima karudi mke kamwambia tukacheck afya zetu kamuua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakua walokole baada ya shida kuwakaba koo. Nje mlokoke roho imejaa uchuKuna watu Wana shida ya kuolewa kama walokole?!
Kuna watu Wana shida na ajira kama walokole
Kuna watu wanateseka kwenye ndoa sahivi kama walokole?!
Walokole ilikuwa wakati wetu bwana Miaka ya 70 mpaka 80, ukiona ndoa ya Mlokole unatamani uipate muda huo huo, ilikuwa Raha, Amani, furaha, wakweli, wanaupendo
Sio sasa hivi uncle, Kwanza hamna MTU sahivi ana hamu na walokole Kwa taarifa yako, basi Tu hujui watu walivyowachoka
Cc: Smart911 KENZY Pablo mahondaw Daudi Mchambuzi yuzazifu
We machepele usitutukania walokole wetu mi ninae mmoja anaitwa Saint Anne anapigilia ile mishono ya yesu ni mwamba😂😂Kuna watu Wana shida ya kuolewa kama walokole?!
Kuna watu Wana shida na ajira kama walokole
Kuna watu wanateseka kwenye ndoa sahivi kama walokole?!
Walokole ilikuwa wakati wetu bwana Miaka ya 70 mpaka 80, ukiona ndoa ya Mlokole unatamani uipate muda huo huo, ilikuwa Raha, Amani, furaha, wakweli, wanaupendo
Sio sasa hivi uncle, Kwanza hamna MTU sahivi ana hamu na walokole Kwa taarifa yako, basi Tu hujui watu walivyowachoka
Cc: Smart911 KENZY Pablo mahondaw Daudi Mchambuzi yuzazifu
Eti uchu 😂😂😂😂Wanakua walokole baada ya shida kuwakaba koo. Nje mlokoke roho imejaa uchu
Natamani ungezaliwa Miaka ya 50 au 40 ungewaona walokole WA zAmani walivyokuwa wakweli kuanzia ndani ya roho zao mpaka nje kwenye matendoWe machepele usitutukania walokole wetu mi ninae mmoja anaitwa Saint Anne anapigilia ile mishono ya yesu ni mwamba😂😂