Wanashukuru wapi?!
Woi labda kanisani kwao ili sadaka zitolewe lakini ukweli WA Mungu angeshuka Mungu akaweka bayana ukweli WA Mambo, ungewapigia makofi wenye dhambi wenye ndoa zao
Me nakwambia walokole tunakutana NAO huku kwenye misele, disko, 5stars hotel wametoka kudunya mademu WA watu tena vitoto vya Miaka 25 mpaka 26, Ila MKE hajui anamshukuru Mungu Kwa ajili ya mumewe na kujitamba mume wangu mzuri, ananipenda, hachepuki, mwisho wa siku wanakuja kuletewa watoto wa nje washakuwa wakuubwa wanasoma vyuo vikuu
We anti embu ongea practicability na sio theory, utachekwa na Jamii
Cc:
Bujibuji Smart911 KENZY kabanga