KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,757
- 86,406
Aaaaamen...Can I get an Aaaaaaamen, somebody 🙏
Can I get your number..?
Aaaaamen...Can I get an Aaaaaaamen, somebody 🙏
Disko gan nimeenda dada?! Una risiti ya Mimi kwenda disko??Sasa maney panny hao unao kutana nao si walokole na we mwenyewe sio mlokole.. mlokole gani unaenda disko..
Kama unataka walokole wa kweli njoo church.
Haya unayo yaongea ni uzushi tuu, mbona malaya wanabinua vijno hadi mitaani na hawaolewi ?
Sinawahi sikia malalamiko kwa mwanaume yeyote labda matatizo mengine lakini sio huu uzushi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo inbox nitakupeaAaaaamen...
Can I get your number..?
Nikubalie kwanza huku huku tukienda huko usije nigeuka..?Njoo inbox nitakupea
Defeated son of Man 😂😂😂Hizo lugha za mlima wa moto ni hatari kweli kweli. Anyway, nilikuwa najaribu kuona ni aina gani ya mtu najadili naye. Nitarudi
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Mwenye macho haambiwi tazamaNikubalie kwanza huku huku tukienda huko usije nigeuka..?
Barikiwa🙏Haina noma nimekusoma,nitatembelea huko soon
A we siji huko utanifanya mbuzi wa kafara sina hela sahivi mpaka korona iishe😜Mwenye macho haambiwi tazama
Unanifungulia Uzi Kwa lipi?! 😂😂😂A we siji huko utanifanya mbuzi wa kafara sina hela sahivi mpaka korona iishe😜
Nisije kukufungulia uzi humu bure nikikufananisha na forex!!
Mi naakili kuwazidi hao😜Unanifungulia Uzi Kwa lipi?! 😂😂😂
Wenye characters kama zako walishakujaga wakaangukia pua Kila wakipiga simu anapokea wasiemtegemea
Sasa hivi wananiheshimu wote na kuniita Madam au Dada Lao au Mama Lao🏃🏃🏃💃💃💪
What for? Mimi sijadili na mtu mwenye lugha za kikahaba, labda nikufundishe tu. Andiko lako ni very empty wala halina mashiko tena ni jepesi tu kulichana chana. Baseless arguments based on fake assumptionsDefeated son of Man
Mkajipange upya waumini WA Mchungaji Gwajima
Hamkujua kuwa Injili ilianza kwetu Sisi akina Penny eee?!
Ilooooo umezodokaBye Ashes
![]()
Nina MARAFIKI laki 5 kwenye website yangu na wanaongezeka Kila sikuMi naakili kuwazidi hao😜
Ndio maana nikaona isiwe tabu..
Lakini nisingekutongoza hofu yako tu kwani hutaki rafiki..??
😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃Ndoa zao ni za kichovu sana sana. Maigizo ni mengi.
Hata ukitaka kufanya unyumba, eti lazima bwana wa majeshi aulizwe kwanza.
Ilooo😂😂😂😂What for? Mimi sijadili na mtu mwenye lugha za kikahaba, labda nikufundishe tu. Andiko lako ni very empty wala halina mashiko tena ni jepesi tu kulichana chana. Baseless arguments based on fake assumptions
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Ndoa zao ni za kichovu sana sana. Maigizo ni mengi.
Hata ukitaka kufanya unyumba, eti lazima bwana wa majeshi aulizwe kwanza.
Tofauti ya rafiki mimi ni kuwa naweza kukula kimasihara 😜😉Nina MARAFIKI laki 5 kwenye website yangu na wanaongezeka Kila siku
Wewe hutokuwa WA 1 wala wamwisho
Ukoo WA Yesu Kristo
Hakuna aliejaribu akafaulu lakiniTofauti ya rafiki mimi ni kuwa naweza kukula kimasihara 😜😉
🙄😜Hakuna aliejaribu akafaulu lakini
Ndivyo nachojaribu kukueleza