Ndoa ngumu jamani

Nje ya mada kidogo....
mmemaliza advance 2007?
..soon naitwa babu bila kuwa na mtoto..teh!
yap yap!!!
hahaaaaaa!!!
mbona mda sana jamani!!! seven years
humu wengine ndo wanamalza std 7
by the way shikamoo
 
yaani yy achepuke afu kuomba msamaha hataki? hii ndo shida ya wanawake wengi wakishapata kaelimu kidogo... taabu sana.
 
We huwa unatafuta nini kwenye hizo cm:

Ukiona mwenzio hakuamini basi jua sio mwaminifu hivyo anadhani mabo anayvo fanya na we unayafanya. Trust me and i wil trust you.

Wivu sina ila roho inauma baibe

Hata sijaelewa ulichoandika
 
yap yap!!!
hahaaaaaa!!!
mbona mda sana jamani!!! seven years
humu wengine ndo wanamalza std 7
by the way shikamoo
marahaba....
lakini kama hujaolewa usiniamkie shikamoo...coz utaninyima fursa..(joke)
 
Yani kaenda chuo then anapigwa na vitoto huko! au hana uwezo wa kusimama mwenyewe kwny masomo ndo maana anagawa? P.u.m.b.a.v.u zake
Hawa wadada wa chuo walioolewa wengi wao ni sheeeeeda!!! Yaani kuna vitu vinafanyika huko vyuoni kama hujawahi kuwa mkufunzi unaweza kudhani ni utani. Mke wa mtu anakuletea papuchi kwa kuwa tu anajua kichwani hamna kitu na bila kugawa papuchi hachomoki. Cheki sasa vi TA vinavyowagegeda ni noooma maana wengi wao hata hawajui TA ni nini hadi waingie mwaka wa 3 !!!!!
 
Umeangalia na kiburi cha huyo mwanamke au wewe umeona uamuzi wa mume tu??!!! Saa nyingine attitudes ndio huwa zinaamua kuliko hata sababu hasa ya ugomvi.
 
Una akili sana wewe, siyo kila message ambayo mume anaikuta katika simu ya mwenzie huanzisha purukushani ndani ya nyumba.

Au hiyo SMS ilikuwa inasemaje..........kwanza tujue ndio tushauri...........
 
Wewe kweli unaelewa vizuri hali halisi huko vyuoni. Halafu sasa hawataki hata kujulikana kama ni wake za watu. Yaani saa nyingine wanaweka madogo kwenye hatari kubwa bila hata wahusika kujua!!!!!

Narudia tena, wake za watu (wengi wao) huko vyuoni ni sheeeeda!!!!
 
Keeping it real. Hapa watu wasiojua mazingira ya vyuoni wanaweza kuona kama sio ishu sana ila bwana huko vyuoni wake za watu ni wanamegwaaaaaa!!!!
 
Yaani mpaka hapo inaonyesha hawaaminiani!
Km unamwamini mtu wako huwezi kumpekua pekua!
Na pia km huyo mwanamke kweli anatabia hyo ht amwamishe chuo afanyaje ataendelea tu.

Hilo ni tatizo kubwa!
Saa nyingine ni lazima uzuie mazingira ya uovu kutokea. We kaa kaa umwamini mwanaume ujidai yeye ni malaika itakula kwako!! Saa nyingine watu wanafanya mambo against their own better judgement lakini kama ukiwasaidia kwa kuwaondolea mazingira ya kitu kutokea wanakuwa na nguvu zaidi ya kuepuka uovu.
 
Ila jaman watu wengine husababisha matatizo wenyew duuu kwanin hakuwa care ilhali anamjua mumewe alivyo??? kashindwa kuwa mwaminifu na bado anashindwa kuficha maovu yake hadi mumewe kagundua????.... hizo ni dharau hapo nakuwa huyo mwanaume mbona huyo bi dada atalia kwa uchungu option alizopewa ziko vizur sanaaaaa hataki bhaaaasss mmxxiuuuu
 

basi mwite halafu mpe hyo pc ili ajisomee mwenyew muoneshe zoote hadi alivyotukanwa ili ajione kuwa n zuzu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…