Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Mwenyewe nawaza hapa, kwamba dyudyu haigusi wala kuichungulia? Basi akae chiu amanue ajue moja[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 Kuna kitu hakipo sawa kwahuyo mwanaume!!
 
Kwani hujawai kukaa bila mavaz mbele yake uka muona kama machine inasimama?
 
Dada nakupa pole sana, tatizo lenu wadada mnakuwa hamjielewi kabisa nyie unakuta umekutana na mdada umempenda uko serious anakwambia mm penzi mpaka unioe ona sasa interview ni muhimu sana

Huyo mumeo mchunguze vizuri pia wewe ni mzembe two years no sex serious?
 
Kuna matatu
1.Jogoo halisimami tena
2.Masharti ya mganga
3.Kiafya hayupo sawa (mwathirika na hata akuambukize).
 
I dated him for 4 years before marriage , and we used to have sex normally with no doubt tatizo lilianza after posa,
Kuna nguvu za giza nyuma ya hili tatizo lako. 100% nina uhakika ni hili. Mimi ni mhanga kama wewe.
 
I wish unikutanishe na huyo mmeo kuna kitu naweza kumsaidia.
 
Hivi hz mada za humu jf ni movie au jamani miaka miwili kweli bila kufanya au ana UKIMWI anaogopa kukuambia dah eti ukimgusia hilo suala anakimbia[emoji38][emoji38][emoji38]mola nistiri mja wako
 
Jaribu kumtega vaa vinguo vinavyokuchora jipitish mbele yake kila wakat pia anza kumchezea ukiw karibu naye kifua sana sana akikuacha ujue umeolewa na shoga
 
Ingekua busara uMshauri hapa kwa manufaa ya wengi[emoji848]

Huko pm bila shaka huna Nia njema nae, unataka umkule kimasihala kisa ktu kaanika shida zake hapa.

Tuweni waungwana[emoji17]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hapa nahisi kuna uongo ndani yake. Kuna mambo MENGI hujasema.

Yawezekana
1. Ulienda kwa mganga akupe limbwata ili mmeo akupende n.a. matokeo yake ndo hayo

2. Huyo mmeo yawezekana ana tambiko lake ambalo alilipata baada ya kukuoa n.a. tambiko hilo lina sharti kuu la kutokufanya kuch kuch hotahe na wewe.


Swali la uzushi
1. Kama mlikuwa mna do kabla hajatoa posa why hukupata mimba???

2. Yawezekana alishawahi kuta ARV kwenye mkoba wako then alipopima kwa siri hakukutwa n.a. janga lako akaona akupotezee mazima, NI KWELI??????

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Tukiombaga tutest mitambo kabla ya ndoa, mnakua wakali, mnatuonaga wahuni.

Ona Sasa,
Mateso gani Aya ya dunia unapitia[emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti khanithi khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo ko unataka kusemaje?
 
Mamii, hata kama mlikua mwasex vizuri, fuatilia vizuri dunia imeharibika. Ukute na yeye anapigwa na kupiga ila kupigwa kumemnogea... sitaki kuconclude... ila fuatilia. Stress za kwio?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnanivunja mbavu khaaaah.
 
Wewe chepuka maisha yenyewe mafupi au mvizie akilala umbake, then uchepuke upate mtoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…