PossibleKama alikua sawa kabisa basi kaa naye mzungumze huenda kuna shida inayompa Msongo .
Au ndo ivo....kuahidi kuoa dem ,kisha akamuachaz akaja kwako...sasa kapewa Adhabu.

Hapa ndio kuna point ya unachotaka kushauriwa, Ni ibu lipo hapo "ubarikiwe pamoja na madhaifu yangu sijawahi ona ukinisema vibaya"Nshauliza sana tena kwa unyenyekevu, wala sjawah kushout, hata kuna mda akilewa ananambia we mwanamke ubarikiwe pamoja na madhaifu yang sjawah ona ukinisema vibaya
Kuna familia Zina visasi sana,Kama alikua sawa kabisa basi kaa naye mzungumze huenda kuna shida inayompa Msongo .
Au ndo ivo....kuahidi kuoa dem ,kisha akamuachaz akaja kwako...sasa kapewa Adhabu.
Moja ya sababu ya kuomba talaka hiyo ni sababu kubwa.Mpaka nimekuja hapa maombi nimeshahangaika sana na bado naendelea na maombi
Wanaume tunakuaga na makandokando mengi Sana na hata usijue.Labda in unknown way coz nimetokanaye mbali sana
Ingekua busara uMshauri hapa kwa manufaa ya wengiNakuomba pm tuyajenga


Ukiwa nje ya tatizo unaeza jiona mkamilifu na kunyooshea wengine kidole ila ukiwa ndani ya tatizo utaona jinsi unavoteseka kisaikolojia , asante kwa mawazo mazuri ila hayo maneno mengine yamevunja uhekima wa ushaur wako, ila thanks notedWe Sio Bure, Miaka Mi2 Ya ndoa unawaza Kuchepuka nje.....!
Je Ukifikisha Kumi ya Ndoa si ndio Watakuwa Wamekufirigisa nje mpaka Umechakaa..?
Tatueni hilo tatizo lenu Kwa Upole Mkimtanguliza Mungu......Maombi Kwa Sana ...Hakuna linaloshindikana Kwa Mungu.
🤣🤣🤣Mtoa mada epuka Sana wanaotaka kukusaidia pm,
Wengi wao wa hivyo,
wanaona hii ndo fursa yao kupata utelezi kimasihala.
Ingekua busara uMshauri hapa kwa manufaa ya wengi
Huko pm bila shaka huna Nia njema nae, unataka umkule kimasihala kisa ktu kaanika shida zake hapa.
Tuweni waungwana![]()






