Hilo linawezekana kabisa,
Mwanaume akishaanza kuliwa kisamvu Cha kopo, kule chini hakusisimki kabisa.
Pole sana...endelea tu kumuomba Mungu atakupa majibu yako. Yaani hata ishara kama uendelee na hyo ndoa au la. Au mtishie kuondoka kama hataki kukuambia tatizo alilonalo, kama anakupenda kweli atakuambia tu.
Shirima nitakuuaaa. Wewe wa kwako umemkaza? Nitakuua mbeNakuomba pm tuyajenga
I dated him for 4 years before marriage , and we used to have sex normally with no doubt tatizo lilianza after posa,Watu hawajuani wanakutana leo na leoleo wanapelekeana Moto,
Wewe kabala ya uchumba sijui ni muda gani mlikuwa pamoja na Nini kilitokea,
Baada ya kuchumbiwa miezi 8+ jumlisha na muda toka mfunge ndoa miezi 16+ hebu kuwa siriazi.
Kama Yuko stressed alikuwa anaoa ili iweje? Na wewe elimu inatakiwa ikukomboe!
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Kweli kabisa lazima dushe lipenye penyeHakuna Ndoa bila kuwepo Tendo la Ndoa
Nilishaondoka akanywa sumu akawahishwa hospitali na tukawekwa kikao akajib atakuwa sawa, unajua sometimes inakufanya ujiskie vibaya kila siku kuwapigia kelele ndugu juu ya tatizo la ndoa yako na mtu wao mwisho wa siku wanaamua kukausha,. Nshafanya effort nyingi sana juu ya hili tatizoPole sana...endelea tu kumuomba Mungu atakupa majibu yako. Yaani hata ishara kama uendelee na hyo ndoa au la. Au mtishie kuondoka kama hataki kukuambia tatizo alilonalo, kama anakupenda kweli atakuambia tu.
Hebu mtafute mlezi wenu wa ndoa. Kuna mambio siwezi sema hapaHabarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo