Ndoa imenizawadia kiharusi

Ongezea na wameshatumika sana body count inasoma 50 people and others 🤣🤣🤣
 
Naam kweli, katika mambo ambayo nimeweza kuyamudu ktk maisha yangu ni mapenzi Yaliyo pitiliza Kwa mtu / kitu chochote
 
Aisee pole sana..
 
Wanaume ndoa zinatukaanga sana ni vile tu hatusemi.Wake zetu wanafiki sana, rafiki yangu mmoja nje wanaonekana bonge la familia, furaha muda wote, mke anampost mme kila uchwao na maneno mazuri chini..Hee! Siku jamaa kaanza kunipa visa na kuniambia ana mpango wa kutafuta mchepuko nilichoka...walokole kabisa first grade.
Ndoa jau, basi tu...Wanawake ni kama watoto yaani, wana emotions na maamuzi ya ajabu balaa.Sijui kwa nini waliumbwa hivyo??
 
Pole sana mwanangu!
 
Huyo anakusubiria tu, timing hasa uzeeni
 
Red flags zilikuwepo nikajiona nina busara sana kumanage.
Kitu kinachonishangaza, ukoo na jamii inayotuzunguka wananiona genious, mshauri na kiongozi. Hiyo ni kabla na hata baada ya ndoa. Balaa ni kuwa mke wangu treats me as imbecile and hopless. Lakini Mungu ananifariji sana kupitia wanangu na friends
 
Mungu akubariki sana kwa wema na baraka zako.

There is a smile kwenye uso wangu since umenitoa mafichoni
 
Na hili ni kubwa zaidi kwa vijana wa sasa,ukiskiza sababu nyingi zinazowafanya watu watengane hazina mashiko ni vile tu tumekosa ustahimilivu kwenye baadhi ya mambo
 
Hold on to what you believe,sometimes tunapoteza abilities zetu sababu ya kuwa disapointed na hawa wenzi wetu
 
Ndio maana mtu unatakiwa sana kulinda moyo na akili visijeruhike, how? Mtu/binadamu anaweza badilika mda wowote so USIWEKEZE matarajio makubwa sana kwake.
Japo watu wazuri bado wapo lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…