Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,937
- 236,491
Ndiyo ukanjanja wenyewe huo ninaouongelea kutoa majibu ya uongoSio wakijanja janja..haya majibu ya DNA yakiwekwa wazi kwa kila anayeenda kupima ndoa nyinhi sana zitaparanganyika na tutakuwa na taifa lenye migogoro mingi sana ya kifamilia.