Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
Naongea na nyie . . . . .
Mnaopenda kuhifadhi kwenye simu zenu za viganjani
Ndo tabia gani hiyo????
Sawa hata kama ni kwa enjoyment yako wewe mwenyewe, vipi watoto wanaokukabili?
Mbaya zaidi mnaziachia tu mpaka watoto/wadogo zenu wanaziona!
Hivi ni makusudi au??
Kama haitoshi mwingine anaamua kuisave wallpaper kabisa . . .si uchuro huo jamani???!!!!
Kama umeshindwa kuweka password, basi kuwa mwangalifu na simu yako!
Inasikitisha kuona mtoto anamjaribisha mwenzie kwa kugeza kile alichokiona
Kwenye simu ya mkubwa wake!
SO SAD. . .
Naongea na nyie . . . .
Wadau wa movie za XXX!
Mnafikiriaga nini kuzileta nyumbani na kuzitenga tu mahali kweupe kila mwenye macho aone,
Ilhali mnajua fika kuwa zimejaa ngono tupu?
Zimekuwa kanda za ubatizo hizo???
Ndo tabia gani hiyo atii??
Kama haitoshi wengine mnaangalia huku sauti inasikika, madirisha menyewe hamfungi vizuri,
Mpaka msikie watoto wanacheka ndo mstuke kuwa wanapiga chabo!
WHO ARE YOU WHAT IS THIS . . . inahusu????
Hata kama unaishi mwenyewe, zifichege basi kwa sababu hizo sio public documents!
Waonee imani wale yasiowahusu!
Ni hayo tu! :ranger:

- Picha chafu za uchi, tena zingine zinaonyesha sehemu nyeti,
- Videos za XXX zilizojaa movement chafu chafu tu.