Hivi naomba niwaulize walimwengu, upi ni ustaarabu? Kutokuangalia kabisa hiyo mikito au kuiangalia sirini?
Kutoiangalia kabisa mkuu.
wala hata co wajuvi wala nini... ushamba tu na upu.mba.vu
Si ndo hapo sasa! Kwa nini asiweke hata picha yake kuliko uchafu huo?
huku kwetu wanaziita pilau...
wana matatizo ya ufahamu.