Ndo tabia gani hiyo????

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,707
5,664
Naongea na nyie . . . . .
Mnaopenda kuhifadhi kwenye simu zenu za viganjani
  • Picha chafu za uchi, tena zingine zinaonyesha sehemu nyeti,
  • Videos za XXX zilizojaa movement chafu chafu tu.
Halafu hamziwekei password wala kufanya utaratibu wowote ule wa kuzificha,
Ndo tabia gani hiyo????

Sawa hata kama ni kwa enjoyment yako wewe mwenyewe, vipi watoto wanaokukabili?

Mbaya zaidi mnaziachia tu mpaka watoto/wadogo zenu wanaziona!
Hivi ni makusudi au??
Kama haitoshi mwingine anaamua kuisave wallpaper kabisa . . .si uchuro huo jamani???!!!!
Kama umeshindwa kuweka password, basi kuwa mwangalifu na simu yako!
Inasikitisha kuona mtoto anamjaribisha mwenzie kwa kugeza kile alichokiona
Kwenye simu ya mkubwa wake!
SO SAD. . .

Naongea na nyie . . . .
Wadau wa movie za XXX!
Mnafikiriaga nini kuzileta nyumbani na kuzitenga tu mahali kweupe kila mwenye macho aone,
Ilhali mnajua fika kuwa zimejaa ngono tupu?
Zimekuwa kanda za ubatizo hizo???
Ndo tabia gani hiyo atii??
Kama haitoshi wengine mnaangalia huku sauti inasikika, madirisha menyewe hamfungi vizuri,
Mpaka msikie watoto wanacheka ndo mstuke kuwa wanapiga chabo!
WHO ARE YOU WHAT IS THIS . . . inahusu????

Hata kama unaishi mwenyewe, zifichege basi kwa sababu hizo sio public documents!
Waonee imani wale yasiowahusu!

Ni hayo tu! :ranger:
 
Kipipi wewe utakuwa umeenda geto kwa mtu halafu akakuwekea hiyo makitu ndio maana una hasira nazo. Hii kitu bwana iko sensitive sana ila jamii imeshaharibika kila mtu anajua ngono. Hivi zamani watoto wanapokuwa wanacheza kibaba na mama huwa wanaangalia hizi picha?
 
Tena kuna maaluni alikuwa anaangalia hizo picha kwa simu yake kwenye hospital lounge. Nikajiuliza anajiaandaa kabisa akiingia kwa dr anabakwa ama anaenda kulalamikia kuongezwa urefu wa nanihii? Its very selfish. Wanaume acheni hizo. Ukiona mwenza wako kajaza picha za madushelele ya pink na kijani ya size tofauti utajisikiaje? Kipipi, asante kwa kuwakilisha.
 
Last edited by a moderator:
Da kipipi kwa kweli hata me inanikera yani kunamdada nlimkuta salon wallpaper yake ni mdada yupo empty kabisa hana hata kipande cha nguo nlimtoa thaman kabisa.. Hiyo siyo adabu yani kuna haja gani ya kutumia picha mbovu kama screen saver maua yaliyojaa tele..
 
Nilidhani kuwa ni mimi tu huwa nakerwa na hyo makitu.. Ki ukweli huwa namshangaa mtu anayekuwa na hayo mavitu. Tena mwngne utamkuta anaztazama kwenye public transport. INAKERA JAMANI
 
Kipipi wewe utakuwa umeenda geto kwa mtu halafu akakuwekea hiyo makitu ndio maana una hasira nazo. Hii kitu bwana iko sensitive sana ila jamii imeshaharibika kila mtu anajua ngono. Hivi zamani watoto wanapokuwa wanacheza kibaba na mama huwa wanaangalia hizi picha?
nitonye, hata kwenye hiyo michezo ya kombolela. . . . sidhani kama kuna mzazi atakaemkuta mwanae anafanya hako ka mchezo ka chafu alafu amruhusu tena kwenda! Lazima atamkataza tu hata kama ni kwa mkong'oto! Ukiweka kumbukumbu zako vizuri, nadhani si jambo geni kwako kusikia mzazi akimwambia mwanae. . . . "usicheze na wavulana" ama " nisikuone unacheza na wasichana!! Hiyo yote ni katika kuhakikisha tahadhali dhizi ya huo mchezo!
 
Last edited by a moderator:
Naongea na nyie . . . . .
Mnaopenda kuhifadhi kwenye simu zenu za viganjani
  • Picha chafu za uchi, tena zingine zinaonyesha sehemu nyeti,
  • Videos za XXX zilizojaa movement chafu chafu tu.
Halafu hamziwekei password wala kufanya utaratibu wowote ule wa kuzificha,
Ndo tabia gani hiyo????

Sawa hata kama ni kwa enjoyment yako wewe mwenyewe, vipi watoto wanaokukabili?

Mbaya zaidi mnaziachia tu mpaka watoto/wadogo zenu wanaziona!
Hivi ni makusudi au??
Kama haitoshi mwingine anaamua kuisave wallpaper kabisa . . .si uchuro huo jamani???!!!!
Kama umeshindwa kuweka password, basi kuwa mwangalifu na simu yako!
Inasikitisha kuona mtoto anamjaribisha mwenzie kwa kugeza kile alichokiona
Kwenye simu ya mkubwa wake!
SO SAD. . .

Naongea na nyie . . . .
Wadau wa movie za XXX!
Mnafikiriaga nini kuzileta nyumbani na kuzitenga tu mahali kweupe kila mwenye macho aone,
Ilhali mnajua fika kuwa zimejaa ngono tupu?
Zimekuwa kanda za ubatizo hizo???
Ndo tabia gani hiyo atii??
Kama haitoshi wengine mnaangalia huku sauti inasikika, madirisha menyewe hamfungi vizuri,
Mpaka msikie watoto wanacheka ndo mstuke kuwa wanapiga chabo!
WHO ARE YOU WHAT IS THIS . . . inahusu????

Hata kama unaishi mwenyewe, zifichege basi kwa sababu hizo sio public documents!
Waonee imani wale yasiowahusu!

Ni hayo tu! :ranger:

hata kwetu wapo..
 
Kuna watu mishipa ya aibu ilifyatuka yaani kweli inpublic transport unaangalia hayo makitu kwanini usiwe private then ujimuvuzishe unavyotaka tabia mbaya haifai.
 
Tena kuna maaluni alikuwa anaangalia hizo picha kwa simu yake kwenye hospital lounge. Nikajiuliza anajiaandaa kabisa akiingia kwa dr anabakwa ama anaenda kulalamikia kuongezwa urefu wa nanihii? Its very selfish. Wanaume acheni hizo. Ukiona mwenza wako kajaza picha za madushelele ya pink na kijani ya size tofauti utajisikiaje? Kipipi, asante kwa kuwakilisha.

Mie huwa nashindwa kuwaelewa kabisa, wanafanya makusudi kama hayo ili watu wajue kwamba na wao ni wajuvi sana au?! Haileti mantiki haata!
 
Last edited by a moderator:
Da kipipi kwa kweli hata me inanikera yani kunamdada nlimkuta salon wallpaper yake ni mdada yupo empty kabisa hana hata kipande cha nguo nlimtoa thaman kabisa.. Hiyo siyo adabu yani kuna haja gani ya kutumia picha mbovu kama screen saver maua yaliyojaa tele..

Si ndo hapo sasa! Kwa nini asiweke hata picha yake kuliko uchafu huo?
 
Back
Top Bottom