Ndio, wewe ni ombaomba

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bujibuji katika ubora wako, hahahahaaaa
sasa mkuu wewe hizo za mwanzo ulikuwa unatuma za nini?
anyways, kwa kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke nyuma yake!!!!
No... si kweli. Na hata kama yupo ni yule mwanamke mwenye kujitambua si hawa masista duu wengi wao empty kichwani.
 
We ndio hujui kaka,ogopa sana videmu vya uswazi,wanaomba hao! Unakuta demu hafanyi kazi kazi ni kuomba buku 2 buku3. Ikifika jioni kajaa
Huwa wabatabia yao ya kupanda dau. Wana kutest na hela ndogo alaf wanaanza kupanda dau kidogo kidogo.
Misele yao ni vigodoro, sherehe, saluni nyumbani. Jaz hana ,hafikirii kupata. Ukimuuliza business idea nayo hana.
 
[Samahani lakini!!!Hii ina ukweli etiii wanaume? ATTACH=full]719816[/ATTACH]♀️‍♀️‍♀️[emoji144]‍♀️
Mh sicolate . Unenijumbusha. Kuna dem nilikuwa nae kila nikimpigia simu anasema njaa. Akiwa nyumbani njaa, kazin njaa. Mpaka kuna siku nikamwambia mimi si baba ako, kila siku njaa njaa njaa, unaishi nyumban na wazazi wako wote, mnapika mchana na ucku hii njaa kila siku ni ya aina gani.
Tangu kipindi hiko ameacha hiyo tabia.
 
Jmn wadada wa hivyo ni shida kero kero kero. Kila siku anaomba, inafikia mahali demu anakugeuza baba ake,anakuomba hela ya chakula na nauli kila siku, alaf anaishi kwao na wazazi wana uwezo.

Wanakera sana, hata kama mnaomba hela muombe kwa ustaarab jmn, kila siku shida na ww, mateso ww ... kila siku naomba hela.
 
Vitu vyote hivyo umempa na mzigo hujala?kweli amekufaidi
 
Siombagi pesa kutoka kwa mwanaume, kama nimemzoea nitamueleza issues ninazopitia katika maisha. Anaweza kunipa ushauri hilo si haba wengine wanatoa pesa hili pia si dogo.
Akili za kihenga safi sana, wa design hii hata milioni nakupa ikiwa mfuko unasoma vizuri
 
Wengine wanangoja birthday yako ndiyo anakununlia zawadi, wengine wanakuambia babe jiandae tunakwenda Easter Mombasa kwa wiki mbili, hili si dogo.

Wengine anatoka kazini tu umeletewa kikuku na mkufu.
wenye bayati zenu mhhh
 
Pambaneni na hali zenu, mbona nyie mnaomba papuchi kila leo hatusemi, kama huwezi kutoa hela baki na mkeo, bai ze wei acheni uzinzi
Papuchi huwa haiombwi, bali inatakwa.
 
unafikiri wanajielewa......akiahamia kwa mwingine ni hivyo hivyo......sijui wamefundishwa wapi hako katabia.......
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tafuta wasioomba mbona wanawake wapo wengi.

Hahahaaaa. Mie huwa nawaza jinsi dunia inakoelekea sijui itakuwaje. Sababu kila siku malalamiko hayaishi.
 
Duh kwahiyo hapo ishakutoka kama laki moja hivi fasta fasta !!! Duh watu na mipesa yao,mi sitoagi pesa hovyo hovyo namna hii bora nimtumie hata bimdashi sio kumtumia dem ambaye sina malengo nae badae
Hahahaaa. Duuh. Usiwe mchungu kiasi hicho bana.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] lazima mtu uwe economically budgeted, mana hali ni ngumu. Nitatoa pesa kwa sababu maalum
Hahahaaa. Hivyo kipindi ambacho hali haikuwa ngumu hili lilikuwa jambo la kawaida ama?

Ila twende mbele na nyuma kusaidia kidogo ipo. [emoji85]
 
Hahahaaa. Hivyo kipindi ambacho hali haikuwa ngumu hili lilikuwa jambo la kawaida ama?

Ila twende mbele na nyuma kusaidia kidogo ipo. [emoji85]
Tatizo ukimpa Mara moja tu, basi ndo anahamishia majeshi jumla inakuwa frequently wiki haijaisha ashakutandika mizinga hata minne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…