samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
Ki-activate kidevu kwa kunyoa-nyoa kila mara, kama mara mbili kwa wiki hivi kwa kutumia machine au wembe. Hakikisha unatumia aftershave, lasivyo zitakapofurumuka uwezekano wa kupata vipele utakuwa mkubwa. Pre-shave au aftershave cream/splash zinapunguza vipele kutokea, although mara nyingi nijuavyo vinatokea kutokana na nature ya mtu na namna anavyo nyoa.
mbafu sangu,duh steve! Kuactive kidevute,kama na chini hazioti??