Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

mwanamme ndevu bwana!wakati wa kutafakali unakuwa unazikunakuna kuvuta kumbukumbu!sasa usipokuwa nazo wakati wa kutafakari utajikuta unaingiza mkono kwenye chup.i ili ushikeshike huko!au labda ushikweshike kichwani!
 
Hpo ni sawa, zina heshm yake bwana!
 
Mkuu ndevu ndio heshima kama hauna mwenza wako atashika nini hapo kama hamna kitu alfu mademu wengi wanapenda kushika ndevu za wanaume zao..kuna style ya kunyoa ndevu unaonekana smart..Duh!! Pole mkuu
 
Jaman kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijibu. Hivi kuna dawa ya kupaka kidevuni na kuondoa ndevu zisiote tena forever?
 
Dah wewe huzitaki wakati sisi tunazitaka...... Hebu na mimi mnisaidie dawa ya kuotesha ndevu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom