Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

Pata yai moja la kienyeji,lipasulie ndani ya kisosi cha chai,kisha changanya na vijiko vitatu vidogo vya asali mbichi ya nyuki wa aridhini. Koroga kwa muda usiopungua dk3. Kumbuka dawa hii inatakiwa uitumie kabla ya kunyoa ndevu zako. Ipake hiyo dawa mahala husika, kisha iache kwa muda wa dk3, baada ya hapo waweza kunyoa ndevu zako bila ya kuchanganya na kitu chochote zaidi ya hivyo nilivyo elekeza. Angalizo: ngozi yako yaweza kuwa na mikunjomikunjo. Lakini waweza kutumia mafuta ya ufuta yaliyochanganywa na mafuta ya habat sauda. Jipake uso wote kisha yaache kwa saa24 bila kuosha uso.
 
<br />
<br />

Duuuuhh! ....... Mambo ya Ndodi au Mama Tery???

.Angalizo: hiyo ngozi ya hicho kidevu isije geuka kuwa cement tukahisi muathirika wa maji ya mgodi wa North Mara.
 
Pata yai moja la kienyeji,lipasulie ndani ya kisosi cha chai,kisha changanya na vijiko vitatu vidogo vya asali mbichi ya nyuki wa aridhini. Koroga kwa muda usiopungua dk3. Kumbuka dawa hii inatakiwa uitumie kabla ya kunyoa ndevu zako. Ipake hiyo dawa mahala husika, kisha iache kwa muda wa dk3, baada ya hapo waweza kunyoa ndevu zako bila ya kuchanganya na kitu chochote zaidi ya hivyo nilivyo elekeza. Angalizo: ngozi yako yaweza kuwa na mikunjomikunjo. Lakini waweza kutumia mafuta ya ufuta yaliyochanganywa na mafuta ya habat sauda. Jipake uso wote kisha yaache kwa saa24 bila kuosha uso.
Hii kali!! Lol
 
Tafuta yai viza jipasulie sehemu husika alafu ukae masaa 24 bila kuoga,hazitaota tena au jipake kinyesi cha bibi kizeee ukae nacho masaa 12, Tehe tehe tehe natania tu mkuu.
 
Jamani! Msifanye masihara watu wana matatizo. Hiyo dawa ni ya ukweli kwa anaehitaji anaweza kuitumia. Uzuri ni kuwa ukifuata maelekezo vizuri,si kuwa inachelewesha tu, bali hazioti kabisa pia kwa asiehitaji hizo ndevu nk.
 
maswali;
1. je baba zako wanandevu?
2. wajomba zako wanandevu?
kama katika pande hizo mbili wana ndevu ila wewe huna, basi muulize mama kwamba baba yangu halisi ni yupi?? naye ufuatilie kama anandevu
 
sijui ingukwa kubadilishana tungebaldilisha..yaani mie nalia na ndevu mwingine anazitaka...ebu sibiri mie nilianza kuota namiaka 26 miaka 2 baadaye zikawa balaa..miaka 23 bado mda hupo usijari
 
Ndugu zanguni nakuja mbele yenu naomba kwenye kujua kama kuna dawa inayowezesha mtu kuota ndevu, kwani nina miaka 23 lakini sina dalili ya kuota ndevu ilhali najisikia fahari kuwa nazo Naombeni msaada wenu.

wala usijisikie vby! Hata sisi wenye kuwa nazo zinatukera tu. Ridhìka na hali.
 
Mi hoi gharama za kwenda salooni unaziomba mwenyewe mkubwa wakati sisi hatutaki kabisa kuyasikia hayo mambo
 
Nilipokuwa sec school kuna jamaa alishuriwa apake kinyesi cha kuku kila anapolaa zitota faster.
 
Utawala wa taleban ulikuwa hautaki wanaume wasio na ndevu kazi ungekuwa nayo kijana..

Kuna wengine huota ndevu ndani ya kidevu fanya hima ukamuone daktari pengine anaweza kukufanyia upasuaji
 
Ww dogo unazitaka za nn, unaweza ukanipa kaz 1 tu ya matumiz au faida ya hizo nywele? Watu wengine bwana! Ww badala ya kutafuta pesa au kuulizia jinsi ya kuongeza kipato chako ww unaulizia minywele. Mbona hujasema za kwapan? au hizo za **.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom