Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Jamani nina tatizo kubwa kweli naombeni msaada kama kuna anayejua namna ya kutatua;

Ni hivi, mwezi wa tatu mwaka huu 2010 jumamosi moja niliamka asubuhi na kukuta sehemu ya ndevu zangu imenyolewa tena kipara hasa kinafanya kuwaka, nikajishangaa kwelikweli maana sijawahi kupata kisa kama hiki kabla.

Sasa huu ni mwezi wa saba unaisha ndevu hazijaota, nifanyeje ndevu ziote jamani mwenzenu!!!!

Msaada tafadhali wana JF.

:twitch:
 
Nenda kanisani ni nguvu za giza na hata ukiombewa uwe na imanai. Ndo utashinda,Ila jaribu Kufunga na uwe na maombi maalum au kusudi maalum la sala zako-kama ulikuwa unasali mara mbili kwa cku basi sali hata mara tano.Na ukiomba kwa dhati mungu atakuonyesha yote utakayo,
 
shukrani Audax kwa ushauri
 
hata sijui hawa jamaa wananyoa na nini kwakweli

Kiboko wa wachawi anapatikana Kawe, Tanganyika Packers (Ufufuo na Uzima), hizo nywele zitateketezwa popote pale walipoziweka kwenye madhabau zao za kichawi. Ndevu zako zitaota kama kawaida.
 
Kiboko wa wachawi anapatikana Kawe, Tanganyika Packers (Ufufuo na Uzima), hizo nywele zitateketezwa popote pale walipoziweka kwenye madhabau zao za kichawi. Ndevu zako zitaota kama kawaida.

Ntaenda haki ya Mungu tena, wamenitenda hawa mwana wa mwenzao
 
mkuu usihofu wala kuhuzunika, tafuta msaada wa kiroho, na kila usiku kabla ya kulala, jitahidi kutamka hata maneno kumi ya kumshukuru Mungu.
na

ukishatoka kuombewa ubadilishe hiyo avatar yako, imekaa mkao wa kunyoa ndevu za watu usiku.
 
Kila nikiangalia avator yako naona kuna watu wengi wanafaidika na wewe dunianangalia usiwe msukule wa watu kuleta utajiri na maisha bora huku ukitesekacha muhimu kwanza kabla ya kukimbilia kuombewa angalia maisha yao unayoishi naonyeshwa auko kwenye njia sahihi za bwana yesu.

Kwanza kabisa badili maisha yako unajua ukitaka kuogopa ukimwi jua chanzo cha ukimwi kitibu then hutopata. The same to dhambi tafuta asilia ya dhambi nini ni?

Then mwombe mungu akusaidieubarikiwe naziona ndevu zako watu wakizizunguka usiku na kuzifurahia mpokee yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako ukasambaaratishe yale mzindiko
 
Imani yako ndio uponyaji wako! Unaweza ukaenda kuombewa na ndevu zisiote kama huna imani mwishowe uwaone watumishi matapeli. Kikubwa hapa ni imani yako!
 
Imani yako ndio uponyaji wako! Unaweza ukaenda kuombewa na ndevu zisiote kama huna imani mwishowe uwaone watumishi matapeli. Kikubwa hapa ni imani yako!

IMANI huja kwa kuona na kusikia,ukienda kwa watumishi kama uendavyo hospitali utabakia hivyo hivyo, Jua kuwa inawezekana huo ni mpango wa Mungu kuokoa roho yako, ndevu ni nini?

Hata zikiota ipo siku utakufa tu pamoja nazo itakuwa imekusaidia nini? Nguvu za giza zipo na njia za kupambana nazo ziko 2 tu :-

1.Kwa shetani kwa njia za waganga ( nazo ni temporarly/kitambo tu )

2. Kwa YESU ni ufumbuzi wa milele hapa duniani na mbinguni.

CHAGUA SASA WA KUMTUMIKIA MAANA KWA MWANAFUNZI WA YESU KRISTO ASINGETUMIA AVATAR HIYO UTUMIAYO MAANA INA UTUKUFU WA DUNIANI.
 
Pole.
Unapaswa kumwomba Yesu akurudishie asili yako ya kuota ndevu.
Pia uombe akuponye dhambi zako
 
pole sana ...kemea na amini hakuna nguvu za giza zinazoweza kumshinda bwana yesu
utapata uponyaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom