Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

Wakuu kiukwel sijui, nina miaka 26 lakini sioni dalili ya kuota ndevu, Je, kuna namna ya kufanya walau zitoke kidogo maana watu husema mwanaume ndevu sijui ni kweli. Msaada kwa hili.
 
Be great full for that...kwa maana ungekua nazo ,all that cute face of yours,could be developing some pimples .,so keep calm kijana,huitaji ndevu.
 
Lakini wanasema ndevu zina heshima yake bro nakuwa kama mtoto na zaid mungu kanpa umbo c nyama uzembe ktk miak hiyo ukinichek ht unipelek form one nakubalika bila swal
 
Wakuu kiukwel cjui, nina miaka 26 lkn cion dalili ya kuota ndevu, Je, kuna namna ya kufanya walau zitoke kidogo maana watu husema mwanaume ndevu cjui ni kwl. msaada kwa hili.

Dogo angalia huyo bebee anataka kukubashia.Pole dogo kwa kukosa ndevu,chukua wembe kila siku uwe unanyoa hivyo vinywele vyekundu kwenye ndevu fanya hivyo kila baada ya siku 2 baada ya miezi 3 ndevu zitakuja.
 
Lakini wanasema ndevu zina heshima yake bro nakuwa kama mtoto na zaid mungu kanpa umbo c nyama uzembe ktk miak hiyo ukinichek ht unipelek form one nakubalika bila swal

hakikisha unakula nyama na kunywa supu ya korodani za beberu kila siku
 
eti watu wanasema ni heshima, why eti??? unauhakika au unafuatilia maneno ya mtaani/vijiweni??? hangaika na maisha achana na fikra mgando
 
Genes/viasili ndio huamua uwe na ndevu, pubic hair na hata vinyweleo kiasi gani. Kuna watu hawana pubic hair kabisa, kuna wanaohitaji kushave kila siku na kuna wanaohitaji kushave mara moja kwa mwezi. Kuna mwenye vinyweleo kama simba dume na kuna asiekuwa navyo kwa wingi.

kama naniliu inafanya kazi vizuri, achana na ndevu. Sio kila mwanamke anavutiwa na midevu kama pori la mchicha.
 
Tatizo cio mashine, huko niko poa ni hilo tu niloandk
 
Ndevu zinazeesha harakaa huon wenzio wanakua na videvu vigumu kama jiweee!!furahi tenaaa
Uanaume wako upo chinii banaa huko ndio muhimu
 
Wakuu kiukwel sijui, nina miaka 26 lakini sioni dalili ya kuota ndevu, Je, kuna namna ya kufanya walau zitoke kidogo maana watu husema mwanaume ndevu sijui ni kweli. Msaada kwa hili.
"Baby face" inakuboa? Pole sana. Sijawahi kusikia dawa yake hasa. Mie nina mandevu mpaka naona kero, kuna nyakati natamani kutokuwa nazo!
 
Inaonyesha huku pitia ule mchezo wa kuitwa baba alafu wanakushika kidevu....

Fanya hivi.

Uwe unakishika kidevu mwenyewe huku unavuta ....hadi zitoke.
 
Lakini wanasema ndevu zina heshima yake bro nakuwa kama mtoto na zaid mungu kanpa umbo c nyama uzembe ktk miak hiyo ukinichek ht unipelek form one nakubalika bila swal

Unakubalika bila swali kwasababu huna ndevu. Ukizipata huwezi kukubalika
 
Inaonyesha huku pitia ule mchezo wa kuitwa baba alafu wanakushika kidevu....

Fanya hivi.

Uwe unakishika kidevu mwenyewe huku unavuta ....hadi zitoke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom