Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

Kwani wewe unapenda midevu? kuna aina ya panya akikugusa tu nywele hazioti, acha mawazo ya kishirikina utaumwa bure.
 
Wakuu,
Natamani kuwa na ndevu nyingi. Nitumie dawa gani au chakula/kinywaji gani ili ndevu zangu ziwe nyingi? Sababu ya kupenda ndevu nyingi ni muonekano wake tu na si lingine.

Msaada tafadhalini. Asante
 
Nenda hospitali muone daktari (dermatologist) (mutaalam wa ngozi) mara nyingi hali hii utokea kama sehemu ya matatizo ya ngozi. Mie pia iliwahi kunitokea na mwanzo nilihisi ni uchawi.

Lakini baada ya mwaka mmoja nilienda hospitali na kupewa dawa ambazo nashukuru Mungu zimemaliza tatizo na nywele ziliota baada ya wiki tatu.

Miongoni mwa dawa nilizotumia ni pamoja na hair back 2% lotion, Betrovate Scalp application na dermovate cream. Tafadhali usitumie hizi dawa hadi umemuone daktari na amekupa maelekezo kutokana na hali yako

Muombe Mungu sana lakini pia nenda hospitali
 
Habari wana JF!,ni kijana wa miaka 28 lkn nina ndevu nyingi sana na zinakuwa haraka haraka yan nanyoa mara 2 kwa wiki.. Jamanh nauliza kama kuna mtu anaweza kunisaidia DAWA au njia yoyote ya kufanya ndevu zisiote au ziwe zinachelewa kuota?. Asante sana.
 
Kama unanyoa mara mbili kwa wiki ndio unasema una ndevu nyingi! Mbona wengi tunanyoa ndevu kila siku?
 
au kama vp utumie njia ile ile ya asali! Its natural,fresh and cool! Refer kwenye thread ya mr.bones!
 
Hahahaaa zangu zinakaribia kuingia machoni nanyoa kwa machine ya umeme hizi njia nyingine zoote unazoweza kuzitaja ikiwemo aftershaves, bump patrol n.k zimedunda
 
uzinyoe kwanini? Vizuri zitunze vzuri.
Jamaa wengine wataiga tu...siwajua tena wabongo kama upo huko kwa kuiga utafikiri hawana ubunifu! Hata wazunfu wataku maindi....! Lol.
 
ndevu sio ugonjwa kaka ni maumbile unachotakiwa kufanya ni kuzikubali na kupanga namna ya kuish nazo.
 
Mambo wana JF?

Nimerejea tena baada ya kupotea kwa muda.
Naomba kuuliza Kutokuota ndevu ni tatizo la kiafya au ni hali ya kawaida?
 
Kawaida ni kwa mwanaume kuwa na ndevu na mwanake kutokuwa nazo! Sasa kama mwanaume hana ndevu hiyo sio kawaida, most likely kuna tatizo.
 
Mambo wana JF?

Nimerejea tena baada ya kupotea kwa muda.
Naomba kuuliza Kutokuota ndevu ni tatizo la kiafya au ni hali ya kawaida?

Hakuna tatizo.
Kadiri ambavyo binadamu amekuwa aki-evolve, manyoya yamekuwa yakipungua mwilini. Watu wa zamani walikuwa na manyweleo kila sehemu huku wakiwa na mabichwa makubwa na uso uliochomoza sehemu ya kidevu ikiwa inaelekea mbele. Mtu wa kisasa sura inabadilika na uso upo wima, na manyweleo yanazidi kupungua. So, take it easy, kama ni wewe usiye na ndevu.
 
Ndugu zanguni nakuja mbele yenu naomba kwenye kujua kama kuna dawa inayowezesha mtu kuota ndevu, kwani nina miaka 23 lakini sina dalili ya kuota ndevu ilhali najisikia fahari kuwa nazo Naombeni msaada wenu.
 
Inategemea. Kama ni mmatumbi safi basi sahau kuota ndevu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom