Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

Ki-activate kidevu kwa kunyoa-nyoa kila mara, kama mara mbili kwa wiki hivi kwa kutumia machine au wembe. Hakikisha unatumia aftershave, lasivyo zitakapofurumuka uwezekano wa kupata vipele utakuwa mkubwa. Pre-shave au aftershave cream/splash zinapunguza vipele kutokea, although mara nyingi nijuavyo vinatokea kutokana na nature ya mtu na namna anavyo nyoa.

mbafu sangu,duh steve! Kuactive kidevute,kama na chini hazioti??
 
Miss judith mbna unaniangusha yani kwakuwa nimepewa meno, miguu na n.k ndio nisihoji ndevu mmi! Hii ni sawa na Tanzania iliyona'amani lkn wananchi wake wasihoji juu ya umaskini je, ni sawa?

degedege,umenikumbusha ****** alipoulizwa kwani nchi yako ni maskini akasema sijui.lol
 
Mwanaume amepewa ndevu.

Mwanamke amepewa matiti.

Wewe haupo kati ya hayo makundi mawili.
 
napenda ndevu but zinanifanya nizichukia sababu nikinyoa baada ya siku kama 3 zinaanza kuchanganya upya,kuna dawa yeyote nnaweza kutumia kupunguza hii spidi?maana duh nimechoka na ratiba ya salun daily
 
nenda hsptl wakakupe vidonge vya kupunguza hormone za kiume. unazo nyingi kuzidi kiwango ndio mana. zikipungua zitaota tartiiibu
 
nenda hsptl wakakupe vidonge vya kupunguza hormone za kiume. unazo nyingi kuzidi kiwango ndio mana. zikipungua zitaota tartiiibu
diva huu ushauri hapana,. sa ivi vidonge si vita sababisha maziwe yaote tena, bora kuwa na homoni nyingi zaa kiume kuliko za za kike aisee
 
Njoo lugalo hapa jeshini..tulimnyoa juzi dereva wa dala dala kwa mikono..kila zikianza kuota we ni bip tu nikupe appointment bwaloni huku tunazigonga bia za 1150 bei chee tukilewa tunaanza kukukarabati kwa kuzinyofoa!! karibu sana!!
 
mwehu!!!
 
dah sasa hivi tutasikia dawa ya kuwa mweupe.....sa utajitofautisha vp na dadaz
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom