kama anahani, si lazima atakutana nao, awaambie tu kwamba kama hawataki hatuwabembelezi, yeye akiondoka madarakani tutawanyooosha, na pia Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo ambaye ndiye proved kuwa na Nguvu kuliko mungu wao atatusaidia na kututoa kwenye mikono yao.
Kinachochekesha ukipita humu utafikiri Tanzania yote ndo inaongea hivi, kumbe huku mtaani raia hata hawana habari hivi vistori vya kizushi vya hawa 'overgrown babies' wa jf
Kbsa kak watu mtani wako busy kutafuta risiki zao hbr za wapi alipo rais na ndege iko wapi ya rais hawana habr nayo
Nimejaribu kumuuliza muongeaji mmoja mzee mmoja hv namuonaga anajadili swla la bandari namuuliza vip mama enu kaenda wapi nasikia yuko dubai ,,jamaa aksema safri za rais hzo bhna lzm kutakuwa na mikutano yao huko nikasema duh hapa tz maji ni mengi mno
Ccm ina makando kando mengi sana kias kwamba inaleta matatzo kila uchao mfano petrol naw ni kama anasa hiv RAIS AMEKAAA KIMYA WALA KUONGEA ANAONA MDOMO MZITO
Bata batani la jimbo la ash-Sharqīyah
The Kingdom of Saudi Arabia
Damman, ni mji mkuu wa Jimbo la Mashariki Saudi Arabia. ash-Sharqīyah province (Arabic: المنطقة الشرقية.
Wenyeji jimbo hilo linakwenda wakiliita Al-Mintaqah ilipoenekana 5H-ONE ndege ya kiserikali ya Tanzania kwa mujibu wa tovuti za plane spotter maarufu wa kuaminika duniani na kutupiwa JamiiForums habari zake.
Miji-pacha iliyoungana kieneo Damman na Khobar ni eneo la kusifika kwa mapumziko na utalii. Jimbo lina idadi ya watu wakaazi 4 millioni. Huku wenyeji raia wa Saudia ni 3 million na wageni wakaazi 1 million wa kimataifa toka nje waishio jimboni humo .
Hivyo kwa kila watu 4 kuna wastani wa watu 3 ni wenyeji kwa mtu mmoja (1 )ni mgeni kutoka nchi za nje hivyo ni maeneo murua kabisa kubarizi kufanya utalii na matembezi ya holiday.
Damman ndipo kisima cha kwanza cha mafuta kilichimbwa nchini Saudia na kuanzia hapo utajiri wa mafuta ukaanza kuineemesha nchi hii mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani kupitia kampuni ya Aramco ambayo imewekeza vilivyo si tu katika sekta ya mafuta bali hata masuala ya kijamii kama bata la kitalii tajwa.
Tanzania inaweza kujifunza kuhusu matumizi mazuri ya maliasili za nchi kama mafuta, gesi, pwani, fukwe na utalii kutoka yanayoonekana katika jimbo hili la mashariki kabisa la Saudi Arabia.
Kutoka mji wa Damman Saudi Arabia ni kilometa chache yaani 20 unavuka bahari kupitia daraja refu kabisa unaingia Bahrain nchi nyingine tajiri kuendelea na utalii na mapumziko
Tumepata wanunuzi wawili waarabu. Wa kwanza ni DPWorld ambao wametupa offer mbuzi tukaikataa. Wa pili ni MBS ambaye kafika bei nzuri. Ndiyo maana mchana tukaelekea Saudia kumkabidhi atupe mpunga wetu.
Serikali yenu tunafanya kila juhudi kuwaletea maendeleo.
Mpango unaofuata ni kuuza moja zile terrible teens B787-8 maana haina kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.