Ndege ya Las Vegas yatoa huduma ya kufanya mapenzi kwa gharama ya sh million mbili

Hiyo ndege yenu kaeni nayo huko huko msiilete bongo. Tz wenye pesa Ni wazee na wengi wao mpaka wanywe MO energy au Viagra ndio mitambo iwake. Sasa mkileta hiyo ndege huku tunaweza kunywa red bull, mo energy, Viagra na mkongo juuu. Si tutafia angani tukijaribu kuwakomoa ma sly queen ili pesa isiende bure.
 
Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa kwenye anga la Las Vegas wakiwa kwenye ndege za kampuni hiyo.

Kwa mujibu wa Kampuni ya Love Cloud, huduma hiyo itachukua dakika 45 ambapo wapenzi wanaoshiriki tendo la ndoa watatakiwa kulipa dola 995 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 2 ili kufurahia penzi lao wakiwa angani.

Hata hivyo kwa wapenzi watakaotumia saa moja na zaidi kufanya tendo la ndoa katika ndege hiyo basi watalazimika kulipia dola 1,495 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 3.

Sheria nchini Marekani haziwaruhusu abiria kufanya tendo la ndoa kwenye ndege, lakini kampuni hiyo ya ndege binafsi imepata kibali maalumu cha kutoa huduma hiyo katika anga la Las Vegas nchini humo pekee!

Wale wenzangu wa kusimamia kucha 1hr+ hii haiwafai kabisaa .
 
Na ndo mjue wazungu hawanaga mambo mengi kama wabongo, cos apo ukute 20min kuandaana, 10min mzigo, 15min usafi Ndege unaanza kushuka airport na 2,000,000 kwishineee
 
Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa kwenye anga la Las Vegas wakiwa kwenye ndege za kampuni hiyo.

Kwa mujibu wa Kampuni ya Love Cloud, huduma hiyo itachukua dakika 45 ambapo wapenzi wanaoshiriki tendo la ndoa watatakiwa kulipa dola 995 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 2 ili kufurahia penzi lao wakiwa angani.

Hata hivyo kwa wapenzi watakaotumia saa moja na zaidi kufanya tendo la ndoa katika ndege hiyo basi watalazimika kulipia dola 1,495 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 3.

Sheria nchini Marekani haziwaruhusu abiria kufanya tendo la ndoa kwenye ndege, lakini kampuni hiyo ya ndege binafsi imepata kibali maalumu cha kutoa huduma hiyo katika anga la Las Vegas nchini humo pekee!

Je tukitaka kufanya siku nzima gharama inakuaje?
 
Back
Top Bottom