Ndege ya Las Vegas yatoa huduma ya kufanya mapenzi kwa gharama ya sh million mbili

Achana kabisa na mji unaitwa Las Vegas. Yaani ilikuwa Jangwa ukageuzwa kuwa mji wa starehe wa kila kitu kipo kuanzia kamari mpaka high profile prostitutes. Pesa inatumika kuliko, acha kabisa, Kuna makasino ya uchi na mtaani Kuna magazeti ya wanaojiuza. Kazi kwako kuchagua. Mji ule hatari sana
Hotel za nyota 5 zimejaa, watu wanatembea usiku kucha kutembelea vivutio. Wageni toka dunia nzima hufika Las Vegas kwa wingi sana, hongera zao
Huo ndio utalii wa dunia ya sasa sio huu wa kwetu wa kutegemea simba, tembo na nyati kuwavutia wageni
 
Nchi za kiislamu mbona kawaida sababu kule ukikutwa guest house mnachinjwa wote wawili

Nchi hizo unywaji pombe na umalaya hufanyika angani kwenye ndege za kukodi.
Hao wameiga tu uarabuni yako siku nyingi
 
Back
Top Bottom