Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Mlishalimaliza magufuli anawanyanyua bado hamshukuru. Binadamu ni hatari. Hakukuwa na airtanzania tena mpaka huyu Baba kaianzisha. Huwezi kumanage millioni bile kuanza na elfu kumi. Miaka kumi tutakuwa na hayo makubwa msihofu. Baada ya miqka kumi Majaliwa tutampa Nchi nae ataongeza makubwa zaidi mpqka tuwe kama ET kwa miaka 20. Shukuru kwa kidogo ulichonacho. Safari moja huanzisha nyingine. Hiyo ndiyo kule kwetu tunaiita start over
Sahau. Miaka 10 mtalalamikia kwanini wanashindwa kuendesha ndege. Hizo mabilioni changanya na ya aipitihela wangenunua madawati na kuboresha elimu ndege zingejileta. Hii ni aibu yao maana soon watajutia uamuzi.
 
hivi.......kurudishia mlango uliobomoka kwenye nyumba yako mwenyewe unayoishi ni maendeleo ya kupigiwa vigelele au ni wajibu?

tena mlango wenyewe uwe umebomeka baada ya wewe mwenyewe kuuangukia ukiwa njwii kwa ulabu!

this kantri buana!
 
JPM walks the talk, aliahidi elimu bure, wanafunzi kukaa ktk madawati, ndege mpya, etc, sio wale wa kuongea tu na wasio na msimamo wa wanachokiongea!
Napongeza la elimu 'bure'. Hiyo pesa ya ndege ilitakiwa ikaboreshe mapungufu ya 'elimu bure'.

Wahenga walinena: Mshika yote kwa pupa..........
 
..Mbona walioondoka wameshindwa kuonesha juhudi kama hizi? au ulikuwa ukifurahi kusikia nchi kubwa kama hii shirika lina ndege moja na wafanyakazi 200! Hebu kwenye ukweli tuseme kweli na sio kila kitu kukandamiza tu!
Hii nchi ina ndege nyingi sana. Sijui umetoa wapi hiyo dhana kuwa walikua na ndege moja.

Walioondoka wameongeza idadi ya ndege nchini. Huyu wa kufanya malaika wawe mashetani kunakila dalili atazipunguza. Naagiza popcorn kabisa
 
Utadhani nchi hii ilikuwa inaendeshwa na Chama tofauti na hiki cha sasa, yaani wamefilisi wenyewe, halafu sasa wanalazimisha tuwasifie kwa kununua pangaboi zao, ukweli hizi ndege sipandi hata iweje kama kwa trip za Mwanza ntaendelea kutumia fastjet tu, bora nijulikane sina uzalendo
 
hivi.......kurudishia mlango uliobomoka kwenye nyumba yako mwenyewe unayoishi ni maendeleo ya kupigiwa vigelele au ni wajibu?

tena mlango wenyewe uwe umebomeka baada ya wewe mwenyewe kuuangukia ukiwa njwii kwa ulabu!

this kantri buana!
Halafu kurudishia mlango kwenye hall la sinema ambalo halina wateja ni ukichaa zaidi. Sipati picha wanaopongeza
 
Yap, tena south kama niko sahihi.
1474397815095.jpg
ndo hii?!
 
hii picha ya ndege ya zaman wameizoom sana ndio maana umeonekana kubwa..msiwe wajinga nyie mnao msupport huyo mtoa mada..ni bora mngelunganisha kwa specification kati ya zaman na sasa. ..ENYI NYUMBU NI NANI ALIYEWAROGA???
 
Utadhani nchi hii ilikuwa inaendeshwa na Chama tofauti na hiki cha sasa, yaani wamefilisi wenyewe, halafu sasa wanalazimisha tuwasifie kwa kununua pangaboi zao, ukweli hizi ndege sipandi hata iweje kama kwa trip za Mwanza ntaendelea kutumia fastjet tu, bora nijulikane sina uzalendo
Na ukipanda utakua unawaza wanaokosa chanjo, manesi waliosoma na hawaajiriwi, polisi walioajiriwa wakacheleweshewa mishahara, maji hakuna, umeme kulipa haipitihela mabilioni, watoto wanaokaa chini ya mti na wa darasani bila dawati, n.k.

Kupenda anasa (ufahari) wakati hohehahe ni kujipoteza mazima.
 
Kabla ya kusifia ndege mpya au ya zamani, kwanini wanachangisha madawati? Pesa za ndege zingenunua madawati zaidi ya laki 2!!

Nyumbu zinashangilia ndege ilhali hospitali hakuna chanjo ya pepopunda. Na zinginezo.

Mi sijui nani anashauri hao wanaotawala. Ndege inalipiwa cash wakati kuna watu hawajalipwa madai yao hapohapo Atcl na kwenye utumishi wa umma.

Ni sawa na kijana alieanza kazi halafu ananunua gari (hata kama ni baby walker haili sana mafuta) ili nae aonekane anamiliki gari.

Wanasahau kabisa ukishakosea vipaumbele ndo unakaribisha mabalaa. Hiyo midege siipandi asilani (labda iwe ndo aina pekee ya usafiri ulobaki na ni lazima nisafiri wakati huohuo) maana kila nikiwa humo ndani ntakumbuka watoto wanaokaa chini bila madawati na watu wanaokosa chanjo za pepopunda.

Ufahari uko wapi ikiwa unajisifia ndege na huna madawa? Ikipata dharura hao watu unawatibia na nini?

Sitapongeza hili la ndege.
 
hii picha ya ndege ya zaman wameizoom sana ndio maana umeonekana kubwa..msiwe wajinga nyie mnao msupport huyo mtoa mada..ni bora mngelunganisha kwa specification kati ya zaman na sasa. ..ENYI NYUMBU NI NANI ALIYEWAROGA???
Inzi wa ndo walozi

Unaweza kuthibitisha Kuna zoom hapo?! Au una.....
 
Back
Top Bottom