Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Hilo Gari la Zimamoto la kushoto limefungulia maji kimwendokasi ikifuata sera ya Serikali ya sasa,hapo Mkulu atakuwa kafurahia sana.
 
image.jpeg

We jamaa umewaka. Mtaalamu barafu kasema inaitwa 'Water Canon Salutation'. Kuikaribisha ndege mpya. Kama hujui kaaga kimya man.

Engine zipoe mbona hawafanyii hivyo ndege zote? Pamoja na hayo, asante kwa nia yako njema kunijibu.
Mkuu Fundisi Muhapa hii si Tz tu,wala si kupoza injini kama anavyosema jamaa,hii ni dunia nzima
 
water cannon ni ukaribisho wa ndege mpya

Asante mkuu nimefuatilia post za wachangiaji pamoja na ambatanisho la picha za water cannon, nimejifunza mengi mana nilikua blank

Ila kwa zimamoto wetu kuna haja ya kufanyia practice karibisho hili ili ndege ya pili ikija wafanye kwa usahihi wasitutie aibu namna ile
 
Ukistaajabu ya Makufuli utauaona ya mlangoni
 
Back
Top Bottom