Abigail2011
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 519
- 230
Daah,nalikumbuka lilivyokuwa dume kwelikweli!
Ahsante chief. Yaani watu wanakua mashabiki tuu hata kwenye mambo ya msingi kisa tumbo.Itasadia nini kuangalia kwanini tulishindwa.? tumerudi nyuma full stop
engine zipoe,imetoka mbali sanaKwanini wanaimwagia maji?
Kwa kushindwa kutathmini tu nilivyokwambia na kurukia TUMERUDI NYUMA, umeonyesha ufinyu wako wa kufikiri.Itasadia nini kuangalia kwanini tulishindwa.? tumerudi nyuma full stop
Duh mbona uko negative kwa kila jambo? Mtu akio mke au kuolewa anaweza kuwaza huyu jamaa akiniacha au akifa?So na hii ikibuma mtatuletea helikopta sio! Sio kwamba tunapaswa kujua ni wapi tulikosea, kama management hivi na vitu kama hivyo???
Shirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??
Tumerudi nyuma badala ya kwenda mbele!![]()
Jazba ya nini?Shirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??
Tununapooza zile tuktukKwanini wanaimwagia maji?
Povu la nini??Jazba ya nini?
Kati ya hizo ndege mbili ipi tulipaswa kuanza kuimiliki?
Tatizo ya sasa ni nyembamba sanaYa zamani
![]()
Ya sasa
![]()
Mnaoponda ndege mpya, Mungu anawaona...
So you mean kama nchi hatuwezi kusimamia BOEING! Hahaaa!Shirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??