Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Maigizo haya ni shida! Zile 11 na moja za Nyerere alikufa nazo mbona hamtwambii? Mnashangilia upuuzi kama huu,mnapiga hatua mbili,mnarudi tano nyuma mnashangilia,ni aibu ya miaka CCM ni matatizo.
Yeye nyerere alikaa madarakani miaka 25 urais kipi alichotatua kiuchumi watanzania tukabaki tunamsifia?
 
Hivi hawa nyumbu waliongoza propaganda za kuponda Barabara za mwendo kasi na kukashifu mabasi yao
 
Hii ni sawa na mzee wa miaka 50 kufurahia kumpata kigori,au mtu aliyekuwa anamiliki basi kubwa kashindwa kuliendesha leo kapata bajaji ni sheeda mjini, Katumbi katushinda, aliyetupa jina la wadanganyika ajakosea
 
Jamani hizi ndege zilikuwa tanzania au naota ,, nilikuwa chekechea nini au tumboni, au ni enzi za mkoloni naona mavitu makubwa tu mi Airbus,, ..
 
Ya zamani
Cszw0EaXEAA-UQ8.jpg

Ya sasa
Cszw0EZWYAEvf9O.jpg

Mnaoponda ndege mpya, Mungu anawaona...
 
1474421339575.jpg
Kuna kitu cha kushangaza jana nimekiona kwenye water cannon ya mapokezi ya ndege yetu mpyaaa
Nilitaka kuuliza lakini mazingira hayakuwa rafiki sana
Zile gari mbili za zimamoto, ya kulia maji yake yalihit target lakini ya kushoto mmh!
 
Aaah kumbee ilitakiwa kuogeshwa mwili mzima baada ya safari ndefu
Zimamoto ni wakarimu sana kama ingekua wanawake basi wa kulia ni wife material
 
Back
Top Bottom